figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Duh🥺🥺🥺 tumefikia huku kweli!?Basi imebeba abilia, lakini mtu anaamua kuifanyia fujo Basi yenye abiria. Mbaya zaidi anatoa Bastola ili ampige risasi Dereva.
Wasiojulikana wametamalaki. Trafiki hata ulipoti hawanyi chochote..
Sasa Tanzania kuna watu wapo Juu ya Sheria
Angalia anavyofanya fujo ili Basi ipate ajali. Au Majini yao yamewatumia damu za watu?
View attachment 3524935
Utaratibu unafahamika inapokua dereva kaendesha Kwa mwendokasi kupita kiasi ? au utaratibu mpya ndio huo mmeunzisha wa kutaka kabisa na kusababisha ajali makusudi ?Acha upumbavu wewe
ndio nyinyi mnaoshabikia medereva wakimbize basi na kuwauwa kama kuku
Hao watakuwa walimuona anavyoendesha basi kipumbavu
Kj wavurana bango dah nimekumbuka mbali sanaAisee inabidi kila mtu ajilinde binafsi kwa style hii, bus gani hili?
Jina kama tahmeedAisee inabidi kila mtu ajilinde binafsi kwa style hii, bus gani hili?
Acha upumbavu wewe
ndio nyinyi mnaoshabikia medereva wakimbize basi na kuwauwa kama kuku
Hao watakuwa walimuona anavyoendesha basi kipumbavu
Kumbe akili huna. Hata lafudhi na lahaja ya watanganyika wenzako huijui? Au wewe mburundi nini?Tanzania hatutumik mistari ya njano kutenganisha barabara katikati na mweupe pembeni, hii ni Kenya
Tanzania mistari ya njano inatumika pembeni na nyeupe katikati
Kenya hutumia vice versa
Mtetez wa mchongo mbona bilia awalalamikiAcha upumbavu wewe
ndio nyinyi mnaoshabikia medereva wakimbize basi na kuwauwa kama kuku
Hao watakuwa walimuona anavyoendesha basi kipumbavu
Sasa hivyo wanavyofanya ndio wangalisababisha ajali zaidi? Usalama barabarani kazi ya nini?Acha upumbavu wewe
ndio nyinyi mnaoshabikia medereva wakimbize basi na kuwauwa kama kuku
Hao watakuwa walimuona anavyoendesha basi kipumbavu
Wewe hebu kuwa na akili hata kidogo asee hivi kama dereva anakimbiza basi ndio apigiwe risasi? Nitajie hiyo sheria ni ya wapi na imeanza kutumika lini,Acha upumbavu wewe
ndio nyinyi mnaoshabikia medereva wakimbize basi na kuwauwa kama kuku
Hao watakuwa walimuona anavyoendesha basi kipumbavu
Huo ndiyo utaratibu?Acha upumbavu wewe
ndio nyinyi mnaoshabikia medereva wakimbize basi na kuwauwa kama kuku
Hao watakuwa walimuona anavyoendesha basi kipumbavu
Wao wakafanya upumbavu zaidi na wewe mpuuzi ukaja kuwasapoti?Acha upumbavu wewe
ndio nyinyi mnaoshabikia medereva wakimbize basi na kuwauwa kama kuku
Hao watakuwa walimuona anavyoendesha basi kipumbavu
Mshana nadhani tungejiridhisha kwanza na hili.Duh🥺🥺🥺 tumefikia huku kweli!?