Umepaniki sana lakini je umefanikiwa kujiridhisha na hii video??? Mbona tunakua wepesi sanaaa kuamini vitu karbe hiii!!!!Wewe hebu kuwa na akili hata kidogo asee hivi kama dereva anakimbiza basi ndio apigiwe risasi? Nitajie hiyo sheria ni ya wapi na imeanza kutumika lini,
Hata kama tumechagua kushabikia upande fulani( hukatazwi) ila wanapokosea usisite kuonya ,
Ni vipi kama dereva angeingia woga na kuangusha basi hao unaowatetea wangejibu walikua wanaokoa abiria?
Kuna vitu vya kutetea ila sio hilo tukio ni la kishenzi sana sana
Gari ndogo ni ipi hapo?Tunaomba itumwe humu ndani number ya hiyo gari ndogo.....
Huyu mseng£ na hicho Kigari chake ni kumgonga na kumsigina kabisa ili iwe fundisho ,yaani una bus au lorry halafu mseng£ ***** mmoja akuzingue ?Nini kilitokea?
mlimtishia Maisha yake? Maana mpaka mtu anafanya hivyo kuna kitu
Kwa nini unasema wasiojulikana?
Kwa nini isiwe tu mfanyabiashara wa madini mwenye silaha?
Vyovyote vile tuepukane na Road Rage hazina faida, akimwaga Ubongo hapo watu wataishia kuongea na Maisha yameenda.
Kiswahili pia kinakusumbua kujua kuwa wanaoongea hapo na hayo matusi ni ya Watanzania aisee..Tanzania hatutumik mistari ya njano kutenganisha barabara katikati na mweupe pembeni, hii ni Kenya
Tanzania mistari ya njano inatumika pembeni na nyeupe katikati
Kenya hutumia vice versa
Kiswahili pia kinakusumbua kujua kuwa wanaoongea hapo na hayo matusi ni ya Watanzania aisee..
Kumbe akili huna. Hata lafudhi na lahaja ya watanganyika wenzako huijui? Au wewe mburundi nini?
Nimezumgumzia kiswahili hiyo ni ya Tanzania kama Mombasa ni sawa wana kiswahili na matusi kama Watanzania tu hauwezi kukuta hiyo kiswahili Nairobi hata hiyo Prado ina namba kubwa za Kenya..Aliepost hiyo taarifa 17hrs ago ni mKenya na video imerekodiwa barabara ya Nairobi Mombasa refresh your brain, mliozaliwa 90’s kurudi chini ni rahisi kuaminishwa habari za uongo
Jifunze uelimikeView attachment 3524974
ingekuwa wewe umo ndani ya hilo basi, ungelalamika?Mtetez wa mchongo mbona bilia awalalamiki
Sasa hivyo wanavyofanya ndio wangalisababisha ajali zaidi? Usalama barabarani kazi ya nini?
Vyovyote vile itakavyo saidi hawa wapumbavu madereva wa mabasi kuacha huu ujingaHuo ndiyo utaratibu?
Hivi ndivyo mnavyowadanganya watoto wa Gen Z bila kufikiria mbeleni patakuwa vipi. Siku ile ya Oct29 bodaboda kutoka Rainbow mpaka Tanki Bovu ilikuwa tshs 15,000 kawaida ni tshs 2,000, hiyo ni siku moja tu ya machafuko jiulize hali ile ingeendelea kwa mwezi mmoja umaskini ungekuwa mkubwa kiasi gani hapa TZ.Boda mmoja akaniambia yeye hawezi kujihusisha na maandamano kwa sababu vitu vinavyoendelea havimuhusu.
Kauli yangu ilikuwa moja tu, kwamba tukiruhusu hii serikali iendelee kuna siku nitapanda boda yako, nitatoa bastola nikikwambia sikulipi na huna cha kunifanya
Uataratibu upo, dereva anaripotiwa kwa mamlaka si kufanyiwa vurugu na kutoa silahaAcha upumbavu wewe
ndio nyinyi mnaoshabikia medereva wakimbize basi na kuwauwa kama kuku
Hao watakuwa walimuona anavyoendesha basi kipumbavu
Hapa ilitakiwa upige simu polisi kutoa taarifa na mkihifani hi video kama ushahidi. Kuja na hii video hapa haitasaidia chochoteBasi imebeba abilia, lakini mtu anaamua kuifanyia fujo Basi yenye abiria. Mbaya zaidi anatoa Bastola ili ampige risasi Dereva.
Wasiojulikana wametamalaki. Trafiki hata ulipoti hawanyi chochote..
Sasa kuna watu wapo Juu ya Sheria
Angalia anavyofanya fujo ili Basi ipate ajali. Au Majini yao yamewatumia damu za watu?
NB: Ni barabara ya Mombasa
View attachment 3524935
Gari ndogo ni ipi hapo?
Hapa ilitakiwa upige simu polisi kutoa taarifa na mkihifani hi video kama ushahidi. Kuja na hii video hapa haitasaidia chochote
Uataratibu upo, dereva anaripotiwa kwa mamlaka si kufanyiwa vurugu na kutoa silaha
Under any condition ni kisconduct hiyo
Umeangalia hata ni video ya wapi?Unyumbu tabu sana.Duh🥺🥺🥺 tumefikia huku kweli!?