Boda mmoja akaniambia yeye hawezi kujihusisha na maandamano kwa sababu vitu vinavyoendelea havimuhusu.
Kauli yangu ilikuwa moja tu, kwamba tukiruhusu hii serikali iendelee kuna siku nitapanda boda yako, nitatoa bastola nikikwambia sikulipi na huna cha kunifanya