U urasa JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 434 Reaction score 2 Oct 24, 2010 #1 yupo baregu na dr mvungi wanampeleke puta kibaraka wa ccm
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,400 Reaction score 320 Oct 24, 2010 #2 washike adabu yao tanznia ya leo siyo ya vilaza ebooooo
Jethro JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 2,219 Reaction score 371 Oct 24, 2010 #3 urasa said: yupo baregu na dr mvungi wanampeleke puta kibaraka wa ccm Click to expand... au nawe ulichelewa kuiona maana siioni mie naona ustadhi hapo
urasa said: yupo baregu na dr mvungi wanampeleke puta kibaraka wa ccm Click to expand... au nawe ulichelewa kuiona maana siioni mie naona ustadhi hapo
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Oct 24, 2010 #4 Mada ilikuwa nini?
Jethro JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 2,219 Reaction score 371 Oct 24, 2010 #5 Hapo kwenye Runinga kumeandikwa ARRISAALAH Anatoa nasaha kwa wapiga kura TZ Yuhu mbona ni ustadhi anatoa tu elimu ya urai kama alivyotoa kakobe na wakamsema vibaya sasa na huyu ustadhi jee nae anakosea au ?? Mie naona tu ni sawa tu kwa kutoa elimu ya urai ni nzuri sana wala haina tatizo.
Hapo kwenye Runinga kumeandikwa ARRISAALAH Anatoa nasaha kwa wapiga kura TZ Yuhu mbona ni ustadhi anatoa tu elimu ya urai kama alivyotoa kakobe na wakamsema vibaya sasa na huyu ustadhi jee nae anakosea au ?? Mie naona tu ni sawa tu kwa kutoa elimu ya urai ni nzuri sana wala haina tatizo.
U urasa JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 434 Reaction score 2 Oct 24, 2010 Thread starter #6 Wakuu mlichelewa,moja ya vitu walivyojadili ni uchaguzi kutokuwa wa huru,haki,wazi na shirikishi, nec na taarifa zao tatanishi,mara karatasi zinatoka s.afrika mara uk,hapa kuna jambo linafichwa.it was nice
Wakuu mlichelewa,moja ya vitu walivyojadili ni uchaguzi kutokuwa wa huru,haki,wazi na shirikishi, nec na taarifa zao tatanishi,mara karatasi zinatoka s.afrika mara uk,hapa kuna jambo linafichwa.it was nice