Angalieni hii picha haafu toeni maoni yenu......Ila jazba haitakiwi...Hii ndio Tanzania....

Hii nchi inanuka rushwa kila sehemu, Polisi, Wabunge, Mawaziri, Mahakimu, Ofisi zote za umma.
 
Ahahaha mambo haya ni amgumu hawa hawawezi kugoma kwa hiyo wanalipizia hapo..
 
ilishajadiliwa kitambo sana, toka enzi za jerry muro, sio mbaya kwa marudi ya wengine.
 
Ukiwa na njaa kama traffic siyo rushwa. Ni udokozi. Rushwa iko bungeni bwana! Wanapata milioni 7 kwa mwezi na rushwa juu!
 
Ukiwa na njaa kama traffic siyo rushwa. Ni udokozi. Rushwa iko bungeni bwana! Wanapata milioni 7 kwa mwezi na rushwa juu!

Huyu jamaa amechukuka vijisenti tu,

Siyo Rushwa hiyo, ni pesa ya kununua maji ya kiroba. Rushwa wanachukua viongozi wa Tanzania, katika kusaini mikataba feki



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…