Angalieni msichana mmoja anasema nini

fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Posts
2,984
Reaction score
1,031
Jana nilikuwa nimebana kwenye corner moja pale starbucks na piga coffee, mara wakatokea wasichana wawili waka kaa karibu na pale nipo mimi kwenye meza ya pili...wakanza kupiga kizungu chao yule msichana mmoja akawa anamwambia mwenzake hivi kwa kizungu...Thank God am Just 23 not 30yrs, so am free to make mistakes, she further said that she is yet to bleep different guys to taste how sweet.


Ikabidi nishindwe kuvumilia nikafanya hivi mhhhm haaam mwenzake anaye sikiliza akanitazama, alipo nitazama nikamwambia tell her to mark me as the next guy to pump her.


Wakaiinuka zao mbio mbio huku wanacheka kwa aibu, sasa swali nalo jiuliza mpaa mda hu, je huyo mwanamke ni kweli anafanya hayo au anataka kumpoteza mwenzake.
 

Ukimjaribu tu ndio utapata jibu la hilo swali lako!
 
Kwanini usimuulize mwenyewe na mkuu unakunywa starbucks siku hizi, umeendelea.
 
Hebu kajaribu uone kama analosema ni kweli maana unaweza ukakutana na kimeo balaa
 
Sa nawe kwa nin ukawakatsha maongezi yao hao wadada wa watu?
 
Kwanini usimuulize mwenyewe na mkuu unakunywa starbucks siku hizi, umeendelea.
Kamulize kaka yako kwanini ananita shemeji, wewe nenda tu kamulize leo...mana aliona bora aanze kunibembeleza mapema, alisha ona maendeleo yangu yako mbali sana, sio ya kawaida....Yeye target yake wewe uwe wangu.


Afu mwambie yule moderator mjinga, afute na hii comment :cool2:
 
Sa nawe kwa nin ukawakatsha maongezi yao hao wadada wa watu?
Senetor hapo ndo nilipo kosea, ningebana kimya labda ningepata mengi pale.
 
Ungentongoza pale pale ukaenda kujilia, then maswali yote uliyokuwa nayo kichwani ungemuuliza huko huko.
 
Ungentongoza pale pale ukaenda kujilia, then maswali yote uliyokuwa nayo kichwani ungemuuliza huko huko.
Si kutongoza tu nili over kutongoza, wakakimbia, nashaka watarudi tu pale next week na mimi ndo zangu kubana pale natazama totoz, hata madameX nadhani safari hii atapita pale kuhakikisha kama nipo :violin:
 
Sa nawe kwa nin ukawakatsha maongezi yao hao wadada wa watu?
Dah jamaa ametukatizia story coz kama angejifanya hasikiia angesikia mengi ya kutuambia leo....Story ilikuwa nzuri sana
 
Of coz wote wamepotea wale,by then wanawaza only nosensez so we may kol dem future-looza kwa lyf ya ss.Alafu istoshe hawajui kama guyz are ril ****er,so wanawe z ku7bsha hz mashne zao kulegea.
 
mkuu ulikosea,ungevumilia kidogo labda ungepata matamu zaidi
 
huyo hajui mkuu, she forgets that life starts at 40. at her age she should be concentrating on accomplishment and personal worth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…