Angalieni msichana mmoja anasema nini

mkuu ulikosea,ungevumilia kidogo labda ungepata matamu zaidi
Hahaha sikuvumilia pale nilidhani atanipa pale pale nikamle cha chap chap kumbe kama ndoto vile..I dedicate this song to her mana kaniwacha kwenye ndoto
 
Last edited by a moderator:

Ni tabu kuzungumzia jambo iwapo huna uelewa nalo. Kwanza aliyosema ni kweli kwa wasichana wa leo wanaokwenda na wakati.
 
hivi fazaa we c una mkembona unapenda kurukaruka c utulie na mke wako
Hapo ndo mnapokosea step, mara nyingi sana kutaka kufanya sex na kufanya sex ni vitu viwili tofouti kabisa.

Mana ya kutaka kufanya sex; Ni unataka kufanya sex, lakini hujafanya sex bado:violin:
 
Hapo ndo mnapokosea step, mara nyingi sana kutaka kufanya sex na kufanya sex ni vitu viwili tofouti kabisa.

Mana ya kutaka kufanya sex; Ni unataka kufanya sex, lakini hujafanya sex bado:violin:
hahaha! wewe fazaa una tabia mbaya.
 
hahaha! wewe fazaa una tabia mbaya.
Nifanye nini ndugu niombee dua mungu anitulize, mana nikiona tu mwanamke mzuri, basi akili zinaruka nakuwa sina akili kabisa, mpaa nikazame.
 
Msichana ambae yupo 23 never imagines here self at 30. That means yupo older than she claims.
 
Kama hutajali kujibu. Bila kujali umri unadhani binti ambae ana uwezo wa kutambua na kutamka hilo anafanyaga stupid mistakes?
Hapa umeongea point, hawezi kufanya mistake hata siku moja...Super.
 
Hapa umeongea point, hawezi kufanya mistake hata siku moja...Super.

In other words roho isikuume sana kua ulikosea approach! Ile yeye kujua ulimsikia asingeweza kukubali labda kwa dawa.
 
kama unazungumuzia wasichana wa kitanzania
ni mada tofauti
na kama unazungumzia western young women....ni mada nyingine kabisa

hapa kuna 'tofauti ya culture' kuhusiana na sex....
na hata waarabu wana yao.....
 
In other words roho isikuume sana kua ulikosea approach! Ile yeye kujua ulimsikia asingeweza kukubali labda kwa dawa.
Aaa mimi huwa sisumbui sana kichwa changu kwa wanawake, nikiwapata nimewapata na kama nikiwakosa nimewakosa, watatokeza wengine tu.
 
kama unazungumuzia wasichana wa kitanzania
ni mada tofauti
na kama unazungumzia western young women....ni mada nyingine kabisa

hapa kuna 'tofauti ya culture' kuhusiana na sex....
na hata waarabu wana yao.....
FYI hapo nilikua naongelea wanawake ambao wanaonyesha kama waswahili vile sijui wazanzibar, au wa bara mana walikuwa na piga kimombo mazee :cool2:
 
kizazi cha kenge

ofcourse they are raely enjoying making mistakes, sure they are making their lameness. The time they want to correct they are rotten and stings blaming man for ignoring them. Nawaonea huruma mabinti wa kizazi hiki hawajui wapandacho ndio wavuancho.
 
sio wote wanaosema wanatenda,wengine wnanogesha genge na wengine wapo kwa jili ya kuwajaza ujinga wenzao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…