pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Kwanza wamenibadilishia mita bila ya kunijulisha mteja wao, pili dharau kejeli na uongo nilipowasiliana nao, tatu ahadi za uongo, inne huduma mbovu.
Majina ya customer care ninayo, muda na namba na tiketi za report ninazo, namba za simu za mafundi walioniahidi wanakuja ndani ya saa 24 ninayo.
Ajabu baada ya saa 24 kila nikifuatilia naambiwa tunatoa report upya sasa kwa style hii si tutafika hata mwaka sijapata huduma?
Kiboko yao alikuwa magu tu
@ tanesco
Sasa rasmi natamani aje magu mwengine
#tanesco
TANESCO