pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Hongera yako, mimi wala mita hajaitoa na nilipowaeleza customer care wakasema sio lazima waitoe ni mfumo tu wanabadilishaMbona Mimi walinitafuta na wakaniambia wako kwenye zoezi la kutaka kubadilisha mita zote za zamani?
Si tumelala dark tumeamka gizaUmeme toka asbh umekatika wadau
Duh, lakini si utarudi?Umeme toka asbh umekatika wadau
Totally darkness πππππ€£π€£π€£Si tumelala dark tumeamka giza
Hakika kabisa, mama na ajiangalue sana, wahuni si watu wazuribila umeme wa uhakika hakuna maendeleo na ni kipimo tosha cha utawala mbovu.