Hii imekutokea wapi Fazaa?
Dubai au dar????lol
Utani pembeni kuna baadhi ya wanawake wanapenda sana kuwachukua wanaume au maboi friend wa rafiki zao wakike.
Yani aksiha jua mwenzake anafaidi basi anakuja na speed kama hii kuchukua mali ya mwenzake.
Anaji introducing herself kwako as a friend to a girl ambaye unampenda, au kama umeoa anasema ni best friend ya mke wako.
Afu atakueleza hivi; Unajua toka ulipo muoa rafiki yangu...Au ulipo tembea na gf wako...Wamekuwa na bahati sana, yani wako on top of the world, and she continues with "You just have to give it to me''
Aisay hawawezekani kama wanataka kitu kwako....Watakipata tu.
Siku njema.
na akijileta ni lazima umle?:lol:
Hapo ndo na mimi nilikuwa nataka kuwajulisha wanawake/wanaume wawe careful....Wanawake wasiwamini sana marafiki zao, na wanaume wasikimbilie kula halua....Yani kuna halua zingine ukiweka mkona ndani basi kila wakati unarudia kupiga round kwa utamu.Kuna wanawake wanajua kucheza karata zao....anafanya uchunguzi vizuuri kupitia huyo huyo shost yake,then anajua nini yule mwanaume anapenda kufanyiwa then bibie anaanza mashambulizi yake..kama shosti wake alikuwa akifanya kwa asilimia 60 then yeye atamfanyia mara mbili yake...#Lazima jamaa akae!! Unless ana msimamo sana..
Hapo ndo na mimi nilikuwa nataka kuwajulisha wanawake/wanaume wawe careful....Wanawake wasiwamini sana marafiki zao, na wanaume wasikimbilie kula halua....Yani kuna halua zingine ukiweka mkona ndani basi kila wakati unarudia kupiga round kwa utamu.
na akijileta ni lazima umle?:lol:
Njia za ku-avoid mambo kama hayo zipo sana tu.Njia za ku-avoid that problem je??? 2juzane basi.