Angalieni vipi Mwanamke anapo taka kumtaifisha mme au boy friend wa shosti yake.

Hapo nilipo highlighted mara nyingi inakuwa vigumu sana wanaume kujizuia...Aisay kunawake wengine ukimtazama tu yale macho basi unabakia ndani ya macho yake....Hajakosea aliye imba I cannot leave you, Im just a prisoner of your eyes.


Yani sisi wanaume ni madahifu sana mbele ya wanawake...Kuanzia wakati wa Adam mpaka mtoto wakiume atakaye zaliwa wa mwisho kabisa duniani.

Nataka usome story ya nabii yousuf au kama wenzetu wanavyo muita prophet joesph afu ndo utajua...Wanaume bila kusaidiwa na mungu basi utajikuta uko kwenye mchakachaka wa kwenda kuleeee.
 
Naamini kuwa hajazaliwa mwanamke hapa duniani mwenye uwezo wa kunishawishi nifanye naye ngono bila utashi wangu!.
 
Naamini kuwa hajazaliwa mwanamke hapa duniani mwenye uwezo wa kunishawishi nifanye naye ngono bila utashi wangu!.
C unajua kuna msemo unasema; chunguza vitendo vyao, utaona kwamba ni tofauti kabisa na maneno yao.
 
ila kuna mashost wana vijicho utamkuta kazi kumponda tu mshikaji wako mara mbaya mara mkubwa kwako mara hamuendani ila ukimpiga chini tu unashangaa cku mbili mbele anaye yy...............utasonyajeeeeeeeeeeee
 
maneno tu haya, hata kwenye kanga na matisheti yapo................
 
ila kuna mashost wana vijicho utamkuta kazi kumponda tu mshikaji wako mara mbaya mara mkubwa kwako mara hamuendani ila ukimpiga chini tu unashangaa cku mbili mbele anaye yy...............utasonyajeeeeeeeeeeee

Hahhahaaa....Wanakera sana mashosti wa hivyo...tena wapo sana mjini hapa..Ila shosti anaemuacha beibe wake kwakuwa anapondwa sana na besti yake ni mwehu asiyejua anachotaka.
 

Stori ya nabii yusuf naifaham vizuri sana...ila nadhani ulisikia jinsi gani nabii yusuf alivyoweza kumuepuka mke wa mfalme kwa kusimamia msimamo wake.

Ila suala la udhaifu mi nadhani nikujiendekeza tu na kutowaheshimu wenza wenu...unapoamua kuwa hutaki kimada wala kujihusisha na mwanamke mwingine zaidi ya mkeo/mchumba wako unaweza! Wapo wanawake ving'ang'anizi ila unapomuonesha msimamo wako atakuacha...atanung'unika lakini ukweli utabaki kuwa humtaki!
 
Hapo nilipo highlighted usije sahau na nabii yousuf alisema ni Mungu tu ndo kamsaidia, ingekuwa sio Mungu alikuwa ameanza kuzidiwa.

Highlighted ya pili, kweli maneno yako....Lakini usisahau mara nyingi sana tumeambiwa tuwe na subra, na wengi wetu hatuna subra.

Hivi mfano leo nani anaweza kuoa mwanamke mwenye kifafaa hata kama kampenda? down syndrome, kilema au ukoma hata kama wazuri....Hapo kwanini hujiulizi swali hilo?? Mwenye kusema anaweza kusubiri basi aende akwastiri hao kama kweli...Mtu asikuletee kuwa hajawapenda ndo sababu, kupenda kuko kuko tu kama nyimbo...Yani unaweza kukuta mwanamke anajua kabisa mme wake anatoka nje ya ndoa, lakini hasemi kitu sababu mme wake anapesa, lakini angekuwa masikini we wachaa tu....Mpaa magazeti yataandika.

Chukua mfano mdogo sana hapa, akitokeza mtoto wa Dos santos's wa Angola nani atakaye msamehe....Hata kama si mzuri. unajua kwa sababu gani wengi hawana subra...Wataona pale ndo watapata pesa za bure....Mimi na uhakika kabisa mtoto wa Dos santos's(Isabela Dos Santos's ) akitoa ofa kwa wanaume wanao sema hawata fanya hivyo ndo watakuwa wa kwanza kuwapiga teke wake zao.

Kupenda ni subra kama huna subra huwezi kupenda, na wenye subra kuwapata dunia hii...ni percentage ndogo sana labda 5% na kama vile mtu yuko ndotoni.
 
Njia za ku-avoid that problem je??? 2juzane basi.
usiwe karibu nao mpaka kufikia hatua ya kukupigia simu eti shemeji nilikuwa nakusalimia tu, au wew mwenyewe kuwa na namba zao kwa ajili ya mawasiliano cz ni best wa gf/mkeo basi uwe na namba yake.
 
Time nyingine akina dada wanaexpose mambo ya faragha kwa mashosti wao. Hiyo inapelekea mashosti kupata hamu na kumtizama shemeji yao kwa jicho la kuita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…