Thanks Ndugu:.
niliamiaga TIGO sikunyingi BAADA YA KUGUNDUA VODA WIZI MTUPU.Kwa nini wafanye siri siri hizo terms. Walishanogewa kutuibia sasa wanashindwa kuacha wizi. ENYI VODACOM, njooni mseme wazi sera zenu tuzielewe ili tuamue kuendelea nanyi au tupa mbali.
Pole ThinkPad. Nadhani hii ni mbaya sana kwenye biashara. Ilitakiwa kwenye matangazo yao yote (hata ya Tv na radio) hili waliweke wazi kwa wateja wao. Kusema tu 'Terms and Conditions' apply, haitoshi.
Halafu hawa Voda walivyo wabahiri sijui kwa nini. Kwa nini isiwe siku nzima mfululizo kama TIGO?Salio lako ni Tsh. ***. Habari Ndio hii, Tsh1 kwa sekunde, Voda kwa Voda siku nzima, Kila siku (isipokuwa saa 11 jioni hadi 3 usiku)
Dah pole mzarendo
Huu mtandao bana kuna watu wamefunga nao nadhiri.
Jamani watumiaji wa vodacom ikifika saa 11 jioni gharama ni zilezile msijisahau nasikitika kwanini voda hawakutangaza kuwa mwisho ni saa 11 jioni hii imenikuta mimi baada yakuongea najua naongea kwa sh 60 kwa dk kumbe naongea kwa 4** kwa dk nikajikuta nimemaliza pesa yangu yoote kwenye simu.
so sad! unasikitika nini? unaona uchungu gani kutumia hela bana? tatizo husomi habari, ndugu na wala usiwalaumu voda. usipende sana vya chee ndugu. mia nn4 kitu gani?Jamani watumiaji wa vodacom ikifika saa 11 jioni gharama ni zilezile msijisahau nasikitika kwanini voda hawakutangaza kuwa mwisho ni saa 11 jioni hii imenikuta mimi baada yakuongea najua naongea kwa sh 60 kwa dk kumbe naongea kwa 4** kwa dk nikajikuta nimemaliza pesa yangu yoote kwenye simu.
this is not promotion, guy. the rate is here to stay, so njooni kwa wingi voda mtandao wa heshimaInabidi tuwe makini sana na hizi wanazoziita promosheni, mara nyingi zimekaa kiwiziwizi.
kipenda roho ndugu. siikashifu tigo na wala wa tigo wasiikashifu voda. soko huria hili. nadhani watu wa tigo wana hofu ya kuporwa sokoDah pole mzarendo
Huu mtandao bana kuna watu wamefunga nao nadhiri.