Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Leo ndiyo siku ambayo wale Waarabu kutoka Libya Al Ahli Tripoli waliotua nchini kupambana na Simba wanatarajiwa kuonyesha kandanda la kibabe kwa kupata ushindi mnono ugenini!
Ushauri kwa Wana Lunyasi wote ni kuwa wavumilivu uwanjani, msing'oe viti wala kutoroka! Tunategemea mtaendelea kushangilia kwa nguvu hadi kipenga cha mwisho bila kujali matokeo ya uwanjani!
Simba Nguvu Moja!