Angalizo: Deni la taifa likifika Trillion 200, nahamia Burundi rasmi

Angalizo: Deni la taifa likifika Trillion 200, nahamia Burundi rasmi

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kwakweli sitakuwa tayari kulipa deni kubwa kama hilo wakati halijanisaidia mimi wala taifa langu kwa namna yoyote ile.

Natoa mifano michache;

1) Unapokopa chanjo za mafua za Trillion 2, halafu wanachoma watu 100 tu, faida yake hasa kwangu binafsi na kwa taifa ni lipi kiasi tukamuliwe tozo za miamala kila siku ili kuulipa mkopo huo?

2) Unapokopa Trillion 1 halafu miradi inayotekelezwa ni kama ‘kuboresha uwezo wa kiutendajo wa watumishi Zanzibar’, hui ni mfano tu wa aina ya miradi, sasa pesa zinapelekwa Zanzibar wakati anelipa ni sisi wa Bara, halafu mradi wenyewe hauna tija, yaani hauna tija, bado tukamuliwe sisi tozo ili kuulipa.

3) Unakuta zinalipwa trillion 2 kujenga mashule na Zahanati nchi nzima, unakutana na Zahanati imejengwa kwa bilioni 3 wakati ukiangalia kwa uziefu mdogo tu uliopo ni kwamba hata milini 200 haiishi kwenye kujenga hilo jemgo la Zahannati, ila kwenye kulipa deni tunakamuliwa sisi tozo.

Hayo ni machache kati ya lukuki yaliyopo, kama tutafika deni la trillion 150 ndani ya 2030 kabla haijavuka, siwezi kubaki hapa kulipa madeni ambayo hatujanufaika nayo, ni mzigo tu, kila kitu tozo, nitahamia Burundi.
 
Kwakweli sitakuwa tayari kulipa deni kubwa kama hilo wakati halijanisaidia mimi wala taifa langu kwa namna yoyote ile.

Natoa mifano michache

1.) Unapokopa chanjo za mafua za Trillion 2, halafu wanachoma watu 100 tu, faida yake hasa kwangu binafsi na kwa taifa ni lipi kiasi tukamuliwe tozo za miamala kila siku ili kuulipa mkopo huo?

2.) Unapokopa Trillion 1 halafu miradi inayotekelezwa ni kama ‘Kuboresha uwezo wa kiutendajo wa watumishi Zanzibar’ , hui ni mfano tu wa aina ya miradi, sasa pesa zinapelekwa Zanzibar wakati anelipa ni sisi wa bara, halafu mradi wenyewe hauna tija.., yaani hauna tija,..., bado tukamuliwe sisi tozo ili kuulipa

3.) Unakuta zinakipwa trillion 2 kujenga mashule na Zahanati nchi nzima, unakutana na Zahanati imejengwa kwa bilioni 3 wakati ukiangalia kwa uziefu mdogo tu uliopo ni kwamba hata milini 200 haiishi kwenye kujenga hilo jemgo la Zahannati, ila kwenye kulipa deni tunakamuliwa sisi tozo.

Hayo ni machache kati ya lukuki yaliyopo, kama tutafika deni la trillion 150 ndani ya 2030 kabla haijavuka, siwezi kubaki hapa kulipa madeni ambayo hatujanufaika nayo, ni mzigo tu, kila kitu tozo, nitahamia Burundi
Utakua haupo Duniani Muda wa kulipa Deni . Naamina mude ule nchi zetu inapigwa mnada
 
Tatizo la kuanzisha miradi mingi kwa wakati 1 wakati makusanyo ni hafifu.

Itafika wakati serikali itapunguza matumizi
 
Back
Top Bottom