Elections 2010 Angalizo kali kwa Watanzania wote mara baada ya jk kutangazwa rais.


Amina!!!!
 
Tatizo wagombea wengi wa chadema walikalili kuwa "kwa kuwa nimesimamishwa na kupitia chadema, basi ni lazima nishinde" sasa mmeshindwa mnaanzisha vurugu na maneno ya kinafki. Mbona shemu ccm waliposhindwa hawafanyi fujo???

Hebu ona kilwa kusini mgombea wa cuf amemshinda wa ccm kwa kula chini ya 500 za ubunge na ccm hawakusema kitu, mngekuwa ninyi mngekubali, n

katika siasa ninyi ni watoto sana na tukifika katikati ya miaka 5 hii mtajua athari za mabadiliko mliyoyaita kwa kufuata mkumbo
 
kabla ya uchaguzi mulikuwa mnategemea peoplessss poweeeer!!!! baada ya kuona hakuna cha peoples sasa mnategemea mungu sio? Inamaana chadema hawana peoples power tena?

Vema sana Zubeda, sasa unaanza kuelewa somo la kuandika Kiswahili fasaha, lakini bado MU.. MU... zinakusumbua , hata hivyo umejitahidi sana :smile:
 
Nakushukuru kwa ushauri wako ,mungu atatusaidia na kutulinda na shari ya wote wasio na nia njema na nchi yetu nzuri TANZANIA .
Na kwa upande mwingine inabidi tusiilaumu sana tume kwani sifikirii kama wtu wa vijijini walipata kusikia hizi kampeni za kwenye mitandao ilhali wengine hawana hata sim za mkononi, na tofauti ni kubwa mno si rahisi kumshawishi mtu yeyote kuwa ushindi wote huo wa JK ni kura za wizi! haniingii akilini:nono:
 
Aisee sio siri mnatilisha huruma

Duh! kama sio nyinyi siku chache nyuma mlikua mna maneno machafu kama m*vi...... leo mnamjua Mungu,,, Mungu hataki WABAGUZI,,,, tubuni kwanza

Hata hivyo mnatilisha huruma,, I wish Jay Kay akampa SLAA alau u diwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…