Angalizo Kuhusu TCU Second Round Application

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
605
Reaction score
151
Hakikisha unalogin kwenye account mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa jibu ulilolipata ni lile au limebadilika. Yawezekana ulichagua kozi ukaambiwa You have been selected lakini baada ya muda system ikakutema kutokana na ushindani na kukutaka uombe tena.
 
Kwahiyo nini kinaendelea mpaka sasa mbona post zenyewe hawatoi?
 
Muda wa second selection ulishapita kwa maana kwamba kabla ya tarehe ya deadline ambao walikua wamekosa nafasi waliweza kujaza course na chuo kilichokua na nafasi, hivyo basi kama umefanikiwa kuchaguliwa katika second &first selection uhakika wa kwenda chuo upo wazi, tofauti ni kwamba first selection hajajua ni chuo kipi ataenda na second selection ameshafahamu chuo atakachokwenda.
 

kidoogo unaanza kuja kuja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…