Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Angalizo tu
HABARINI za asubuhi kwa ujumla
Naamini wote mmeamka wazima WA afya
Najua hili n kwa wote WANAHITAJI wafanyakazi WA nyumbani
Lakini haswaa wale NDUGU ZANGU WA kawe mbezi beach makonde nk mnaoendaga pale kawe kutafuta wafanyakazi WA Malawi WA kuwasaidia nyumban
Aka wanyasa
Hawa watu wamekuwa wazurii sana enzi hizo sasaa wameingiwa na Pepo la wiziii
Hili Pepo limehamia hadi wamalawi waishiyo mbezi beach YAAN ukiweka mmalawi NDAN ukamwachia nyumba
Usishangae utakachokutana nacho namaanisha mnyoshooo WA haja
Hapa jirani kuna mama aliwabeba mtu na mkewe akawatafutia chumba jirani akawalipia
Wale vijana wamepiga kazi miaka miwili mama akawamamini akaenda Arusha amewachia nyumba
Jana ANARUDI anapiga mwanangu UKo wapi NKAMWAMBIA home njoo
Dah KWENDA wale wahuni wamevunja mlango WA mama wamelamba kama dollar 1200
Anaonyesha SEHEMU zingine Mungu amemsairia
hawakupaona akanihesabia dollar 25'000. Dah sema HATA iweje palikuwa NGUMU kujua kuna helà
Wamemchukulia manguo yake mazuri viatu nk
NKaishia kumpa poleeee
Sasa nilipocheka AKAOMBA nimpeleke akaripoti SERKL za mitaa na polisi akanipa funguo nkawasha moto huyooo SERKL za mitaa
Duh pale tumekutana na kesi ZINGINE tatu za wanyasa wamewaibia wenye nyumba
So wakati wanaelezea nkasikia kama nachela ikabidi ntoke Nje nkacheke kivyangu nkarudi ndani
YAAN HUYO mwingine wameleta na kirikuu nae hivi hivi kasafiri ameishia nao miaka 3 wamemsafisha barabaraaaa
Nawashauri tu najua tuliwaamini sana wanyasa kwa sasa sio WATU wema kabisa YAAN wale wameishia kuwa wazuri kwenye mapenzi kama anakupa penzi mnyooshe wanalinda ndoa nyingi sana za kwenye magetimbezi beach
Kama bado UKo nao nikujuze ishi nao kwa akiliiii usiangalie umekaa nao miaka mingapi wakigeuka chatu hawaangalii miaka uliyoishi NAYO Wala wema uliowatendea
Nb:
Sio WOTE wabaya asilimia KUBWA wamegeuka wexi
All dbest