Hata mimi nakubaliana kabisa cha muhimu tuzingatie ushauri wa kila mara wa DR.SLAA amekuwa na msemo wake kuwa;"hakikisheni mnajitokeza kwa wingi kupiga kura, kisha hakikisheni mnazilinda kura zenu kwani kura yako ndiyo, mabati, cement,afya, elimu n.k." ninaomba sana tumuenzi huyu RAIS wetu mtarajiwa kwa kulinda kura hadi kieleweke" hakuna kurudia kuhesabu kura hiyo ndiyo iwe siraha yetu na hakuna kutoka tume hadi watangaze tukiwabana sana watatangaza tu.
Dr.SLAA nakusifu sana kwa kutuelimisha kwa hilo tulifanyie kazi WATANZANIA.Mkapa amekutukana sana juzi akikufananisha na kokoto leo hii umekuwa lulu atasemaje??? natamani awepo siku ya handing over yako na KIKWETE pale uwanja wa taifa