#COVID19 Angalizo kwa misaada ya kukabiliana na COVID-19

#COVID19 Angalizo kwa misaada ya kukabiliana na COVID-19

Nyamsenga

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2020
Posts
337
Reaction score
435
Salam kwenu watanzania wenzangu,

Pole kwa familia na jamii yetu kama Watanzania kwa kufiwa na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.

Nianze kwa kusema sina nia mbaya yeyote bali ni kutoa angalizo tu kama Mtanzania mwingine yeyote

Binafsi niwashukuru watu wote waliojitoa kusaidia misaada ya vifaa au fedha kwa tatizo tunalokabikiana nalo la COVID-19

Lakini ni muhimu kwa taasisi zetu zinzopokea hii misada kuangalia vizuri na kufanya uhakiki wa vifaa hivi, ni kweli dunia Ina Mambo mengi na wakati mwingine kumjua adui si rahisi sana, unaweza pokea zawadi kumbe ndio inakusindikiza pabaya, muhimu ni kuwa makini ipasavyo.

Kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida linaloashiria mtu kuwa makini zaidi kwa kile anachokiona kwa wasiwasi huo

Hayati Magufuli alitutahadharisha sana kuhusu misaada ya vifaa kama barakoa, naamini serikali yetu mko makini kwa jambo hilo, na tunawaamini katika hilo.

Kila la kheri kwa wasimamizi wa taasisi zetu.

Mwisho kwa wale waliotoa msaada wa barakoa Nyamagana asanteni sana.
 
Rwanda ,Uganda walipokea misaada ya chanjo wamejifungia maambukizi yapo just,ndo maana wanakupa misaada na kukulazimisha kutangaza visa maana wanajua maambukizi yatapaa tu,wanakuambia lockdown,ili waendelee kukukopesha wale kwa riba.
 
Jambo hili limekaa kibiashara kwa namna fulani
 
Back
Top Bottom