Angalizo kwa viongozi wa Coastal Union

DIUNATION

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
2,591
Reaction score
1,719
Kama mwanamichezo ningependa kutoa dukuduku langu ambalo linanikera hasa kwa club hii.

Nimekuwepo hapa tanga kwa mwezi mzima sasa na hua natembelea mazoezi ya timu mbalimbali pindi wakiwa hapa.

Coastal union imekua haina matokeo mazuri katika msimu huu.kuna mambo nataka niwaambie viongozi wao ambayo nahisi ni chanzo cha matokeo mabovu.

Niseme wazi nidhamu ya kambi ya coastal union iliyopo mikanjuni transfoma karibu na kanisa la sabato ni mbovu kupindukia.Unakutana na wachezaji saa sita au saba usiku wako na wanawake mitaani sasa unajiuliza wanapumzika saa ngapi?

Pili ulaji wa mirungi na uvutaji wa bangi umekisiri hasa nyakati za jioni na usiku.Haya yote yanachangia sana kuiua ile timu.

Kama viongozi mtakua serious na kuipenda timu yenu badala ya kufuruhia mapato tu mkayarekebisha haya coastal itabadilika soon.

Nawasilisha
 
Pia wachezaji wanamgomo baridi maana hawajalipwa stahiki zao ndio maana hakuna kiongozi wakuwasemesha ,viongozi nao wanatupiana mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…