Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

Mkuu Pasco kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe ila sasa Na Kutoka(Exodus) 20:5 imekatazwa kujifanyia miungu wengine na kuisujudia .

Mungu ni mwenye wivu. Ilitolewa tahadhari tu juu ya kugusa Utukufu wa Mungu

Hii miungu "Catalyst" mingine inaturejesha katika Kumwabudu Baali.

Wanaoelewa wanajua Allah ni Mmoja tu sasa hawa wengine wa Push-ups wanaibukaje tena?

Ni lazima waambiwe kuwa Mungu yule tunayemuomba kupitia sala ya Taifa "Mungu Ibariki Afrika...." yupo mmoja tu
 
Tokea ule hela za Luwassa unachanganyikiwa. "anayemuunga mkono lowassa akapimwe akili''..Msigwa
 
Leave us alone. Don't teach us how to think. Sisi tunaheshimu kila mawazo ya mwana jf aliyemo humu. Mawazo na mitazamo ya vyama vyenu yanayokataza kukosoana na kuhimiza kukubaliana kwa kila kitu kama bunch of fools pelekeni kwenye vyama vyenu.
 
unamsema lema au?

aseme asiseme kufa ni LAZIMA
 
Mimi ninashangazwa, yule anayetumia maandiko kuonya na kutaka kuokoa roho inayojipoteza yenyewe ndio analaumiwa na yule anayefanya matendo ambayo hata maandiko yanasema Hakika utakufa wanaona anaonewa.
 
Stand for what you believe. Mngekuwa mnaogopa vifo kiukweli mngehakikisha huduma za jamii (uchumi, afya, elimu, maji nk) ni zenye kiwango cha juu sana ili wananchi wengi wasife. Kuna watanzania wangapi wanakufa kwa kukosa huduma za tiba na dawa katika nchi yetu? do you know? Lakini sasa nyie mnapotajiwa kifo tu, mnarukaruka huku na huku kama vile mnakichukie kweli, wakati uzembe wenu ndio unasababisha vifo vya watanzania kwa maelfu kila siku!
 

***
"" hata
wakiwa na mioyo ya
kishetani kiasi gani, hata
watutendee maovu kiasi
gani, sisi tuwaombee mema,""
•Aiming who?
 
Tuwaulize chama mfu chadem wanaotabiri kifo kwa rais wetu hivi ikitokea nyeupe wao kaondoka watamsingizia nani?
Malaika katishika
Ana haha now kujinasua na utabiri Nabii GJL (MB)
hafi mtu na lazima mukomeshwe wanafiki nyie
 
Wizi mbaya sana hawa watu wamezoea kuibia serikali fedha mpaka wanatamani mabaya yawatokee kwa wale wanaozuia wizi kuendelea!
 
Kwani hao viongozi wakifa nchi inapotea? Wamekufa wangapi na Tanzania bado ipo?
Embu acha ujinga,kila mtu atakufa na Tanzania itabaki imara.
Na hao viongozi wakifa wala hatutopata hasara.
 
Pasco
Kaka hebu rekebisha au jifunze theology and ideology writer /dhambi haikuumbwa hapo unachanganya madawa mkuu!!.
 
Kumuombea mwenzio kifo si jambo jema.Lakini tujitahidi kutenda mema kadri ya uwezo wetu ili tuepukane na kuombewa mabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…