Hiyo ni kweli kabisa kuna wanawake wazuri sana ila kwa sababu za aina hii wanaume wanakuwa hawajiamini, kumbe mke wala hana hilo ila unakuja kumpa kesi zisizo lazima. Ukiwa na mtu kama huyo lazima uwe makini sana na hisia zitakuponza. Unakuja kujua baadaye wakati ushampiga kibuti.