Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Sidhani kama yupo TzUnatuaminisha kuwa upo Tanzania.
Ila ukweli ni kwamba hapo Tanzania ila kama upo Tanzania usijaribu kUshiriki mazishi ya ndugu ndugai
Ukifanya ivo ndio itakuwa safari yako ya mwisho wa maisha
Usijaribu kabisa utapotea.
Ile video ya hapa ni wapi nahisi alirecord muda mrefu mana alijua kabisa atakuja kuwakataaaSidhani kama yupo Tz
Ni hatariWamemalizana na CHADEMA wamehamia kwenye familia zao wenyewe?Watakosa wa kulia misibani.
Akili kubemwa akili mnembaIle video ya hapa ni wapi nahisi alirecord muda mrefu mana alijua kabisa atakuja kuwakataaa
Sawa ya kubemwa😂Akili kubemwa akili mnemba
Unatuaminisha kuwa upo Tanzania.
Ila ukweli ni kwamba hapo Tanzania ila kama upo Tanzania usijaribu kUshiriki mazishi ya ndugu ndugai
Ukifanya ivo ndio itakuwa safari yako ya mwisho wa maisha
Usijaribu kabisa utapotea.
SahihiKumpa ushauri huu ni ku m underrate Polepole.
Polepole ni gari kubwa!
Yes ile ya muda....sasa hawezi kusogea nchoni watamuua..kwa usalama wake ..hahaha...!!Ile video ya hapa ni wapi nahisi alirecord muda mrefu mana alijua kabisa atakuja kuwakataaa
Baba levo anakuambia uchaguzi upigwe upya nimeibiwa😂Hata angekuwa na uelewa mdogo kama wa baba levo asingeweza kwenda
Sio kwa Tanzania hiiPole pole atafika hapo na hakuna wa kumfanya kitu yoyosee
Nasikia alisoma short course miezi 11 ya technological master defenseUnamfundisha samaki kuogelea! Hakwenda Havanna Kuba kushangaa maghorofa.
Sahihi
🤔🤔Kumpa ushauri huu ni ku m underrate Polepole.
Polepole ni gari kubwa!