mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Kumbe una mtazamo kama wangu. Kwangu mimi Bashite akiingia kwenye hio Kamati ya Taifa Stars sitashangiliaMbona watanzania wameshaliona hilo angalizo kitambo ndio maana huoni mzuka...wamejazana mle wanalumumba watupu..ni bahati mbaya Rais wa TFF nae ni kibaraka wa lumumba na mbaya zaidi hanaga USHAWISHI wowote katika soka letu...kwa walivyokosea kujazana humo kwenye kamati tusitegemee kuona hamasa yoyote au kujaa uwanja jumapili...
Kwani MO na Manji hawamo kamatini?!!Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa. Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
.....ashatugawa tayari....
Mpira haunaga siasa.. ukijaribu kuingiza siasa kwenye mpira lazima utaumbuka....
Na mimi niko upande wa Uganda, husikii ujinga ujinga kule.Binafsi jpili hii nitakua upande wa UGANDA
siwezi kuhamasishwa kushangilia na kina Wema, Steve, JB & CO
Hakuna tufungwe tuondoke.Tuiombee tu timu yetu ya Taifa ishinde na kufuzu hiyo afcon. Ingawa natambua huo ushindi iwapo utapatikana, tutaambiwa ni kwa sababu ya mafanikio ya mtu fulani pasipo kuwapa heshima wanaostahili (wachezaji na benchi la ufundi). Kila kitu tunatanguliza siasa tu na siyo uzalendo.
2-0 Uganda vs Wapumbavu.Mpumbavu kabisa bashite na hilo litimu lao la taifa naomba lifungwe...
Nilikuwa nimekata ticket ya VIP.Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa. Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
Braza nakusalimu mkuu...Heshima kwenu wanajamvi.

Hata mimi MkuuBinafsi jpili hii nitakua upande wa UGANDA
siwezi kuhamasishwa kushangilia na kina Wema, Steve, JB & CO
Uganda tulianza na Mungu na tutamaliza na MunguNiwe muwazi tu mapema......Mimi nashabikia Uganda, Naomba uganda ipige Tz 3-0, ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi jpili hii nitakua upande wa UGANDA