This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
HAhaa ,yanga 1 - azam 5Uko mbali sana,kuna kipigo chao kutoka Azam kitawavuruga mpaka kutaka kupigana wao kwa wao.
Draw ya Simba imewatia aibu,sasa mmebaki matuma katuni za John Bravo.
Naunga mkono hoja ๐๐Shida yako hasa ni nini?
Draw ya simba?
Mategemeo yako Yanga nae atafungwa?
Uoga wa mechi yako ya marudio?
Kujaribu kutafuta wa kufa nae kwa maana ya msiba wa wengi ni harusi?
Umakolo tu?
Kabla ya Cairo mlisema Simba atafungwa kwa Mkapa,,kiko wapi?๐ ๐Kvp sasa subiria kukazwa cairo
WahedKabla ya Cairo mlisema Simba atafungwa kwa Mkapa,,kiko wapi?๐ ๐
View attachment 2787676
Kutoka kwa mkapa atoki mtu hadi kushangilia droo ๐V
Hii mechi imewaumiza mnoo..Kina Percy Tau wao hajafunga imeuma mnoo..
Ngoja atawafunga wao waridhike...
Wahed.Wahed
Ethnein
Thalatha
Arba-a
Khamsa
TutambomoaNaona Kuna watu wanajizima data.Matokeo ya Simba yanawafanya Wanajisahau kwamba muda si mrefu Hawa jamaa watarudi Tena bongo.
USHAURI: KUWA NA AKIBA YA MANENO NI JAMBO ZURI SANA, JITAHIDI USIONGEE YOTE!
Kila mtu ashinde mechi zake.
Nb: Ihefu 2-1Gongowazi. NBC Premier league 2023/2024
View attachment 2787635
Naam,,,Ahmedy Ally anazila manzi za Uto kwa mafungu๐ ๐
View attachment 2787698Kipindi hiki๐Rage alikuamwenyekiti.
Ulichotuma kimekataa kufunguka kwenye simu yangu,,tuma tena๐ ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃUlichotuma kimekataa kufunguka kwenye simu yangu,,tuma tena๐ ๐
Hivi kweli unafurahia hii draw kwa mkapa na Al Ahly ikiwa mna mechi ya marudiano kwao 'Masri'? Kabisa yaani?Kabla ya Cairo mlisema Simba atafungwa kwa Mkapa,,kiko wapi?๐ ๐
View attachment 2787676