mambo JF...
Nimesikia tu sina uhakika na hili,kuwa moja ya sababu zinazofanya watoto kuwa bullied mashuleni ni kutokana na kuwa na facial features ama maumbile yaliyo tofauti kidogo,kwa mfano masikio makubwa,lol pua ndefu ama unene uliozidi...
nilikuwa natoa tu angalizo kwa wana JF wenzangu tunapochagua wenzi wa maisha then,tuhakikishe tunachagua mbegu iliyo bora lol,go for someone who is really good looking ili hata watoto watakaozaliwa nao watoke wazuri kua void bullying........
msinishushue mie nimesikia tu..:msela::msela::msela:
kabla hujachagua hiyo mutu ya good looking,
hebu jichakachue kwanza wewe, je na wewe unayo hiyo good looking?
otherwise...............lol..
kabla hujachagua hiyo mutu ya good looking,
hebu jichakachue kwanza wewe, je na wewe unayo hiyo good looking?
otherwise...............lol..
Una look bad nini mzee mbona umekuwa mkali ghafla???
hi bacha! nadhani huyu mleta sredi ana tatizo kuliko lile la kwangu, tena lake ni la ajabu sana.kabla hujachagua hiyo mutu ya good looking,
hebu jichakachue kwanza wewe, je na wewe unayo hiyo good looking?
otherwise...............lol..
Kumbe muoga eehhh.
Ila kweli mwenzangu aahhh unakuta yaani mmmmhh ah ngoja niishie hapa. Nitarudi[/QUOTE
mie muoga bwana wananchi wa JF wakiwa na hasira na thread utaiona chungu....mbona sasa DA husemi unakuta mmmnh nini tena???umesema utarudi,twakusubiri kwa hamu dear.:sick:
good looking ya mwanaume,
ni kuwa RIJALI basi!!!!!!!
hayo mengine ni ya ziada sana!!!!!
bacha mie sina good looks,ila natafuta mwenye good looks tumpunguzie mwanetu ubaya lol,sasa achukue masikio yangu makubwa,afu achukue na mpua wako bacha huoni....mwanetu atateseka?lol:twitch::laugh:
Kumbe muoga eehhh.
Ila kweli mwenzangu aahhh unakuta yaani mmmmhh ah ngoja niishie hapa. Nitarudi[/QUOTE
mie muoga bwana wananchi wa JF wakiwa na hasira na thread utaiona chungu....mbona sasa DA husemi unakuta mmmnh nini tena???umesema utarudi,twakusubiri kwa hamu dear.:sick:
Nimerudi tayari
Wakware utawajua tu.
Watu wanazungumzia good looking wewe ushawaza chini ya kitovu ukoje lakini
sioni mateso yeyote atakayopata hapo!
sasa ninaanza kuona sababu ya nyinyi,
wapenda good looking jinsi mnavyoweza kuchepuka nje ya ndoa zenu lol....
sioni mateso yeyote atakayopata hapo!
sasa ninaanza kuona sababu ya nyinyi,
wapenda good looking jinsi mnavyoweza kuchepuka nje ya ndoa zenu lol....
hiyo ndo good looking ya mwanaume ,
kwishney!!!!!!
hi bacha! nadhani huyu mleta sredi ana tatizo kuliko lile la kwangu, tena lake ni la ajabu sana.
Yatakushinda tunatafuta handsome kidogo sio sura kama Remmy (R.I.P)
Halafu wewe unaonyesha una sura mbaya sana maana umekamalia kama nini
sasa wewe umeona Remmy ndo alikuwa na sura mbaya eeeeh?
mungu amlaze pema pepon.Amen
Lakini alipendwa na amekufa ameiacha familia yake!!!!
sasa hiyo good looking sijui ni ipi tu?