Angalizo: Usinunue Chombo Cha moto kama huna fundi wako

Mkuu, Swali la kizushi

Hicho ulichobadili kinafanana hata kidogo na hiki?πŸ‘‡πŸΎ

Kama jibu ni ndio, Basi hakuna namna hicho kifaa kinaweza kuzuia gari isiwake.

Kama jibu ni hapana, Basi hicho ulichonunua na unakiita Valve Chase siyo jina lake.
 
Mkuu, Swali la kizushi

Hicho ulichobadili kinafanana hata kidogo na hiki?πŸ‘‡πŸΎ

View attachment 2586006

Kama jibu ni ndio, Basi hakuna namna hicho kifaa kinaweza kuzuia gari isiwake.

Kama jibu ni hapana, Basi hicho ulichonunua na unakiita Valve Chase siyo jina lake.
 
Huwaga wanawapanga wanaouza spea, mfano gari ilikua inavuma mguu wa mbele, nikaona isiwe tabu nikaenda kwa fundi kanifungulia katoa ni kweli ilikua ya kubadilisha, akanishauri nibadilishe miguu yote ya mbele, fine nikakubali, nikajifanya sijui kitu, nikamwambia daah sasa zote mbiliii sii itakuaa maumivu? akanijibu sio pesa mingi boss ni 160,000 tu ukinipa na ufundi 30,000 inatosha.
Mzee baba nikashtuka kimoyoni nikasema ushanikosa. nikamwambia pumzika tu mi nitaenda kupress pale ilala. Daah nikamwona mwamba kapoa, nilivyomwambia mpaka mambo ya kupress!
Basi nikabeba mavyuma yangu nikaenda ilala nikanunua bearing wakanipresia nikaspend only 80,000 nikarudi nayo nikamwambia haya nifungie mzee baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…