Angalizo

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Usitumie face au finger kufungua simu yako, kwa kweli ukilala na simu ipo karibu ni rahisi kubukuliwa.
Ni hilo tu,inawezekana unaulizwa masuali ambayo yametokana na viashiria vilivyoonekana kwenye simu ,unabaki umejuaje ?
 
Mimi nimeweka fingers na hata ukifanikiwa kufungua hakuna kitu yamuhimu utapata! Kitu cha muhimu siweki wazi na hata nikiweka kwenye simu basi itahitaji more than finger to get it!.. hii dunia ishi na akili yako binafsi fingers password natafsiri zimewekwa kama kurahisisha tu na ndio maana password za typing zipo!
 
Wewe una iPhone. Wakati nipo A level shuleni nilikuwa na Infinix, kuna dogo alikuwa form four anafungua simu yangu kwa face unlock. Na tunafanana kwa mbali sana hata sio ndugu
Hehee mbona balaa hiyo πŸ˜‚
 
Nmejaribu hapa kufumba macho af nikayafumbua kwa mbaliiii, imegoma πŸ˜‚
Sasa hapo sawa. Si umeshaona bila kufumbua haikubali? Jiachie. Usishangae upo usingizini hujui hili wala lile,unashushia kipigo kitakatifu bila kuelewa kuna nini. Ukiuliza,utaambiwa subili kukuche ndo tutawekana sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…