ANGALIZO

philipo njovu

Senior Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
181
Reaction score
115
Kabla hujafanya maamuzi ya kuwa na watoto /Familia fahamu hili..

Watoto wamekuwa ni hazina na faraja ya wanawake uzeeni lakini faraja ya kudumu ya mwanaume uzeeni imekuwa ni mali zake alizotafuta ujanani.
Wanaume tutafuteni pesa zitufariji baadae,waacheni wanawake washindane na akili zao... Mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu maana alipewa hiyo nafasi na Mungu mwenyewe hata zipite Karne kwa Karne 50/50 haitatokea, wanaume Wala msiumize vichwa.
 
Upo sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…