Angekua mkeo ungefanyaje?

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,231

Kwa wasiolewa kingereza maandishi yanaelezea jinsi huyo dada anamzuga mumewe kapokea simu kumbe hajapokea.

Simu hiyo ni ya mchepuko anaogopa angesikika, cheki jamaa alivyotega sikio
angalia kwa makini kwenye kioo cha simu haijapokelewa.
 
dah nikiona hivo nakumbuka tukio la kupasuliwa simu na demu wangu dadeki
 
mshaambiwa kugongewa ni siri ya ndani toa masikio hapo kama. dr wasikio
 
bonge moja la ushahidi hawezi kabisa kujitetea hapo
halafu izo timu zipo ligi ya south afrika kwa mzee madiba......
 
Hiyo anayesema angemuua usikute ana michepuko 12.

Akizidisha mmoja tu anashindwa hata kuendeleza majina ya bandia kwani kamaliza miezi ya mwaka mzima.
 
Wanaume tuwe makini na simu za hawa wanawake. Ukiona password kibao, pia yuko busy kuchat tambua kuna walakini hapo.

Haya mambo ya mtu eti ana privacy yake usishike simu mi kwangu ni marufuku.
 
dah nikiona hivo nakumbuka tukio la kupasuliwa simu na demu wangu dadeki
Demu wako ni team tamthilia za Ki philipino!

Kuna Kijana Mmoja alikuja kunishtakia kila akigombana na Mkewe Basi hufuta namba zote za kwenye simu yake!
Nikamwambia umefunga ndoa na Kichaa, hawezi kupona dawa yake nawe kunywa dawa uwe kichaa zaid yake ndio tiba, na kweli baada ya Mume kuwa kichaa zaid yake Yule binti kaanza kurudiwa na akili na heshma!
 
Wanaume tuwe makini na simu za hawa wanawake. Ukiona password kibao, pia yuko busy kuchat tambua kuna walakini hapo.

Haya mambo ya mtu eti ana privacy yake usishike simu mi kwangu ni marufuku.
Safi sana mkuu! Huo ujinga nimeshaukataa kabisa japo bado sijajua hata nitaoa mwaka gani. Siwezi nikawa nakaa na mtu ambaye anafichaficha simu yake, mtu wa namna hiyo ni adui mkubwa sana kwangu. Ni uboya sana kumpa mtu uhuru wa kukumaliza.
 
Pamoja sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…