mimi naona ni pre-emptive strike ya mzee. anahisi anaweza kuja letewa mkwe toka kwenye hiyo kwaya. so akishawachuja wote, kijana ataona noma kuleta mkwe mtarimbo. itabidi aingie tena mwituni kutafuta kitu ambacho mzee ataridhishwa nacho. na changamoto kwa dogo awe makini!