Sijaomba kufunzwa. Najifunza. Wacha panganga
Umarufuu
= umahiri wa lugha
Asante. (Nikichoma kamusi na notebook yangu)
Lakini si mnautangazia ulimwengu kuwa chimbuko la kiswahili ni kenya?Post natal depression. Ndo kwa maana huchargiwa na infanticide na sio murder. Na omba radhi kwa Kiswahili changu. Nime join forum hii ili ni ongeze umarufuu kwa lugha. Mimi ni mkenya
Lakini si mnautangazia ulimwengu kuwa chimbuko la kiswahili ni kenya?
aache panganga sio.. Ha ha ha ha
panganga ni ni ni?