Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Mie nimefika kileleni kwa juhudi zangu ndiyo hao wanaume wakaja kuniona na kuanza kudandia gar kwa mbele..ofkoz unaachaje Fu sasa Kama mwanaume kadandia na unaona anaweza kukufikisha sehem? Kawaida tu tunategemeana
 
Mzee aliwahi kukulala huyo Jiwe? Mbona unaongea bases on your own experience?
 
Huyu katika awamu ya 5 alikuwa agombei ubunge wala ubunge wa viti maalum lakini alikuwa anauhakika wa kupata ubunge na uwaziri

Cheupe oyee
 
Napinga kwa nguvu zote unamjua Daktari Blandina Kilama yule yupo hapo alipo bila kutegemea mwili wake kama ngazi ya kumpa mafanikio
 
Duuh
 
Y
Angela Karuki na maza ni paka na mbwa. Ila Karuki ana uwezo mkubwa wa kufikiri, kutenda, kuamua na kuongoza kuliko maza.
 
Huna picha yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…