Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kama wewe ni roho mbaya na familia yako usigeneralize kwamba wabongo wote ni roho mbaya labda wewe na ukoo wakoHabari za wakati huu wa dau wa jukwaa hili.
Nilikua napitia katika mitandao ya kijamii, nikakutana na hii habari ya huyu mlimbwende Angelina Jolie.
Ya kwamba aliadopt watoto, mmoja wapo anatokea Ethiopia anaitwa Zahara, tangu kakiwa kachanga kabisa kama miezi mitano hivi.
So hiyo tu na watoto wengine pia kama watu hivi, kuna wa kiume mwenye asili ya Asia na Kuna mwingine mzungu.
Na amekua akiwatunza mpaka Sasa, kasheshe inakuja Kwa huyu Binti Toka Ethiopia, kwamba kashakua mzuri na mama yake anaanza kuleta longolongo kuhusu mwanawe, wakati Angelina Jolie alimchukua kama orphan yaani yatima.
Anyway sijui itaishia wapi.
Kwa anaefahamu au mwenye kujua zaidi tujadili japo kidogo,
1. Hivi sisi wabongo tunaweza fanya hiki alichofanya huyu Angelina Jolie? Jinsi tulivyo na miroho yetu ilivyo mibaya?
2. Sisi blacks mbona tunajidhalilisha sana, Kwa mfano huyu mama wa Zahara Binti wa Angelina Jolie,? Leo ndo anamuona mzuri? Zahara kanoga, kapendeza, na anafaa kabisa Kwa matumizi ya binadamu(Kwa sisi wanaume tu).
3 Binafsi nampongeza sana huyu Angelina Jolie Kwa alichokifanya kuadopt hao watoto, ningekua na uwezo Ile wa uumbaji basi huyu Pepo inamuhusu kabisa.
Mama nae kisu sema matunzo tuu
Ni pissMama nae kisu sema matunzo tuu
Kweli bado analipa, bado kijana.... hajapata mtoto mwingine zaidi ya Zahara nadhani nayo inachangia kumuumiza.Mama nae kisu sema matunzo tuu
Inaonekana hata mihogo na kachumbari tu ni shida dohKweli bado analipa, bado kijana.... hajapata mtoto mwingine zaidi ya Zahara nadhani nayo inachangia kumuumiza.
Ni kama wameshakutanishwa,
Huyo mama anatamani naye akawe adopted, njaa mbaya.
Bora hata yeye anatamani ku adoptiwa tu, huku kwetu tuna Baba Levo alitaka kumzalia Boss wake😀😀Ni kama wameshakutanishwa,
Huyo mama anatamani naye akawe adopted, njaa mbaya
Hapo juzi niliwaona huko mloganzila wanataka kuongeza maumbo,Bora hata yeye anatamani ku adoptiwa tu, huku kwetu tuna Baba Levo alitaka kumzalia Boss wake😀😀
🤣🤣🤣Boss Mond au?Bora hata yeye anatamani ku adoptiwa tu, huku kwetu tuna Baba Levo alitaka kumzalia Boss wake😀😀
Tatizo tako ubapa. Tarltizo tayariMama nae kisu sema matunzo tuu
Hiyo 'Fashion' tunaisoma kawaida au kama yule jamaa wa Eatv?Hii pic ya kwanza ka Zahara ndio kana miezi 7, na sasa ana miaka 18,
Hongera kwa Angelina amemlea vizuri sana huyu mtoto, ana adabu, upendo na utu,
Anaingia rasmi kwenye kiwanda cha fashion.
Hicho kiwanda sasa......Hii pic ya kwanza ka Zahara ndio kana miezi 7, na sasa ana miaka 18,
Hongera kwa Angelina amemlea vizuri sana huyu mtoto, ana adabu, upendo na utu,
Anaingia rasmi kwenye kiwanda cha fashion.
Sawasawa 👍Zahara Marley Jolie-Pitt ni mtoto halali wa Angela Jolie na Brad Pitt and not the other way around.