Angelina Jolie anajiachia na kaka yake

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Star mkubwa wa filamu duniani kwa sasa yupo kwenye mahaba mazito na kaka yake James Haven . Wawili hao wameyaweka wazi mahusiano yao bila hata aibu [emoji57]

'' Nampenda sana kaka yangu. Wewe ni mwanaume mzuri kuliko wote ninaowajua na nakupenda saaaaana ''. amesema hivo Angelina Jolie

Wadau hii imekaeje [emoji849]
 
Hakuna jipya.. Hata sisi wengine tukizama ndani ndani huko utakuta ni ndugu moja, uzao wa Adam na Hawa....
 
James Haven is an American actor and producer. He is the son of actors Jon Voight and Marcheline Bertrand, and the older brother of actress Angelina Jolie. Wikipedia

Born: May 11, 1973 (age 48 years), Los Angeles, California, United States

Partner: Ashley Reign

Parents: Jon Voight, Marcheline Bertrand

Siblings: Angelina Jolie
 
Mnh! Kweli dunia ina mengi ya kustaajabisha, wengne wanatembea( wanatoka kimapenzi) na baba zao wengne na mama zao( wakuwazaa).

Safar bado n ndefu mnooo, wacha tuone.......
 
Mnh! Kweli dunia ina mengi ya kustaajabisha, wengne wanatembea( wanatoka kimapenzi) na baba zao wengne na mama zao( wakuwazaa).

Safar bado n ndefu mnooo, wacha tuone.......
mama zao kiumri au kuzaa, kabisa.
 
yale ya kina cersie na Jamie , game of thrones
 
Duh haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…