Kessy jr
New Member
- Jun 11, 2024
- 4
- 30
Dogo amefanya ushawishi Mkubwa sana kwenye WBNA kiasi ambacho amekuwa kivutio cha watu wengi sana.
Hivi karibuni amechaguliwa kwenye all stars ya WBNA, licha ya mafanikio aliweza kuwashukuru wote waliofanikisha ndoto zake kutImiza.
Angelreese ana kiimo flani amazing Akiwa ndani ya uwanja utampenda sana.