Angelreese ni msichana pekee mwenye mvuto zaidi kwa sasa kwenye WBNA

Kessy jr

New Member
Joined
Jun 11, 2024
Posts
4
Reaction score
30

Dogo amefanya ushawishi Mkubwa sana kwenye WBNA kiasi ambacho amekuwa kivutio cha watu wengi sana.
Hivi karibuni amechaguliwa kwenye all stars ya WBNA, licha ya mafanikio aliweza kuwashukuru wote waliofanikisha ndoto zake kutImiza.
Angelreese ana kiimo flani amazing Akiwa ndani ya uwanja utampenda sana.
 
Ndio maana naomba Azam washushe ESPN ili tupate Raha basketball Ina watu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…