Mpangawangu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 887
- 965
Mitandaoni kila mtanzania anasema lake.
Vyama navyo kila kimoja kinayo maoni yake.
Mazimgira uchaguzi nayo ni mjadala wakujitegemea hasa eneo la tume huru ili watanzania wawe na uhakika wa kura zao kuheshimiwa.
Kwa maoni yangu hizi ndizo Agenda kuu za uchaguzi wa 2020.
1. Uchumi wa mtu mmoja mmoja
2. Usalama wa wananchi hasa baada ya kuibuka matukio ya watu kutekwa na kuuwawa.
3. Maslahi ya watumishi wa Umma.
4. Mifumo ya utoaji haki ,hapa tuzungumzie hizi kesi mpya za uhujumu uchumi zinazolenga kukomoana.
5. Utendaji kazi wa Bunge vs matumizi ya serikali yasiyoidhinishwa na Bunge
Wewe unashauri ajenda ziwe zipi?
Karibu Zitto Kabwe utudondolee.
Tundu Lissu tuwekee walau ajenda tatu.
Hamphley Polepole tuwekee agenda ziwe zipi.
Mnyika mwaga Agenda
Paul Mayala karibu tusikie maoni yako
Na wana jamvi wote,tijikite hapo kuelekea uchaguzi mkuu.
Nipo tayari kukosolewa.