GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa pale ikiwa inaihusu Klabu ya Yanga.
Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) kama kweli una Lengo la Kutuelimisha Watanzania juu ya Kanuni na Sheria za TFF na Kamati zake tunakuomba uwe unatenga muda wako kila Wiki ili Utuelimishe na siyo uvizie kukitokea Maamuzi ya Kihukumu kwa Watu wa Yanga SC (Unayoishabikia na Kuipenda) ndipo kwa Kiherehere na Kuwashwawashwa Kwako unajitokeza na Kujifanya Unadadavua na Unachambua Sheria.
Angetile Osiah Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa ) tunajua kuwa tokea Rais wa TFF Wallace Karia 'akutumbue' miaka kadhaa iliyopita umeamua kuwa na Chuki nae Binafsi na unapenda kupata Umaarufu kwa Gharama za Kuisema (Kuinanga) TFF hasa hasa ukiwa unamlenga Adui yako ( Rais wa TFF Karia )
Angetile Osiah ( Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa ) mbona ulipokuwa Katibu Mkuu wa TFF kulikuwa na Maamuzi ya Kikatili ya Kuiumiza Simba SC na pia kulikuwa na Mapungufu mengi ya Kiutendaji yaliyoiharibu Ligi Kuu kipindi chako hicho ukiwa Katibu Mkuu lakini ulikuwa huwashwiwashwi hivi kuja Kujikosoa au hata tu Kuikosoa TFF yako? Mnafiki mkubwa Wewe......!!!
Tunaokujua (Waandishi wa Habari Wabobezi na Wachambuzi wa Masuala Mtambuka ) akina GENTAMYCINE tunajua kuwa kwa sasa (Siku hizi) unapenda sana Kujitokeza kujifanya Unakosoa Maamuzi ya Kamati za TFF dhidi ya Watu wa Yanga SC ili Yanga SC ( hasa akina GSM ) wakufikirie na wakupe Ulaji ( hasa Ajira ) kwani kwa sasa una Maisha Magumu ambayo hukuyazoea tokea ulipokuwa IPP Media na Mwandishi wa lilikokuwa Gazeti la Michezo miaka hiyo la Lete Raha.
Nakushauri kuwa Mkimya mno sawa?