Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Wadau nawasalimu.
Toka Serikali itangaze kuwa imenunua Mabehewa ya Treni ya Kisasa Mbunge wa Nzega Vijijini amekuwa Mstari wa Mbele kuhoji Upya wake.
Kwa Tabia ya Kugwangalah Swali hili hili angeliuliza Balozi Bashiru Ally nina UHAKIKA Kigwangalah angeita PRESS kutaka Balozi BASHIRU ALLY AJIUZULU UBUNGE kwanini anahoji.
Kigwangalah ni mtu kigeugeu AKIPEWA UWAZIRI ni Mtu wa KUSIFIA SANA lakini AKIKOSA UWAZIRI ni Mtu wa MAJUNGU sana
Ushauri Kwa Kigwangalah SIO lazima Awe WAZIRI awaache na Wengine Wawe MAWAZIRI CHUKI na WIVU havitamsaidia KAMWE zaidi ya Kutengeneza MAADUI
Namkumbusha tu hata yeye hii HAIKUWA SANAMU HALISI ya BABA wa TAIFA Lakini FEDHA za UMMA ZILITUMIKA je na yeye ALITUCHOKEA SANAMU USED?