Hivi Tanzania inacheza lini? Mimi niliona tulifungua michuano kwa kufungwa goli moja tu na Ivory Coast......tukashangilia sana ....
Naona Malawi wanaelemewa kidogo.
Tanzania hatumo mle mkuu!
Ile mechi ya mazoezi na Ivory Coast tuliyofungwa watu wakashangilia saaana na kusema ati TZ tuna kiwango sasa. Yaani tumefungwa na tunashangila. Sijui uwezo wetu wa kufikiri upoje.
malawi nimewakubali. hakuna cha manucho wala nani. first lady hajaja leo
kweli ni wazuri. hata kocha wao (Kina Phiri) anaonekana ni tactician mzuri sana.