Angola Pia Wanajua Kiswahili?

Angola Pia Wanajua Kiswahili?

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Nimeangalia hii documentary ya mazishi ya Savimbi, nikagundua kuwa kuna wakati (kuanzia dakiaka ya 3:29) walikuwa wanaimba wimbo wa kwaya kiswahili. "Mungu ni Mwema". Je nako wanaongea Kiswahili?

Hapana ila Kuna baadhi ya maneno yao yana sound kama kiswahili...
 
Nimeangalia hii documentary ya mazishi ya Savimbi, nikagundua kuwa kuna wakati (kuanzia dakiaka ya 3:29) walikuwa wanaimba wimbo wa kwaya kiswahili. "Mungu ni Mwema". Je nako wanaongea Kiswahili?

Hawa Waangola wanaongea kireno kama lugha yao rasmi ya taifa.
Ila katika mazishi haya walijaribu kushirikisha/kutumia lugha ndogo ndogo zinazotumika katika sehemu mbalimbali za nchi hiyo (kiswahili kikiwepo) ili kujaribu kuleta umoja wakati ule wa mazishi. (Wakati huo nchi ilikuwa na mpasuko mkubwa)

Kiswahili kinatumika kwa uchache sana katika majimbo ya Lunda North na Lunda South yanayopakana na DRC.
 
Nimeangalia hii documentary ya mazishi ya Savimbi, nikagundua kuwa kuna wakati (kuanzia dakiaka ya 3:29) walikuwa wanaimba wimbo wa kwaya kiswahili. "Mungu ni Mwema". Je nako wanaongea Kiswahili?

Wale wanaoimba " Ekuwemeee Ekuwemee you're the living gado, Eze no one like yo" unafikiri wanaelewa hata wanachokiimba? Basi nadhani na hao ni hivyo hivyo![emoji28][emoji28]
 
Nimeangalia hii documentary ya mazishi ya Savimbi, nikagundua kuwa kuna wakati (kuanzia dakiaka ya 3:29) walikuwa wanaimba wimbo wa kwaya kiswahili. "Mungu ni Mwema". Je nako wanaongea Kiswahili?

Mkuu hawa tukiwa wadogo tuliwaita wapigania uhuru, wengi wamekaa Tanzania usishangae kuongea kiswahili
 
Back
Top Bottom