Angola ya Kombe la Dunia 2006

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Leo nimejaribu kupitia maktaba yangu nikakutana na Angola iliyoshiriki Kombe la Dunia 2006,Angola walikua vizuri sana kisoka ila kwa siku za karibuni hata Kauzu fc wanaweza kufunga.

Sio mbaya tukijikumbusha Majina ya wachezaji maarufu walioshiriki michuano hiyo ya kombe la dunia 2006,baadhi yao waliounda kikosi hicho cha Angola ni...Jamba,Kali,Akwa,Loco,Lebo lebo,Halafu walikua na Striker matata sana wakuitwa Flavio.

Sio mbaya na wewe ukitupia majina ya wachezaji hao kama unawakumbuka.

Twende kazi.
 
FLAVIO alikuwa pale misri kama sikosei hapana chezea
 
Manucho si alishawahi kuwa man utd?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…