Ruba we ni muAngola nini? au una kaasili ka huko! Avatar yako 'Nani'. huyu ni mreno lakini ndio wale wale wa Angola...na ulivyompamba huyo binti (japo anastahili) si mchezo.
Mi nadhani miss Tanzania tulete majaji International (toka nje), local wachache...kwa sababu waTanzania wengi tunapenda maumbile fulani hivi (mdada lazima awe na nyama kwa mbali, hata akiwa mwemba lakini tu'hips' na tu'wo wo wo' angalau tudogo hivi), kwa hiyo majaji unakuta wanachagua miss Tanzania kutokana na interest zao au wanapenda nini kuliko kuzingatia vigezo vya kimataifa!