Angry & hungry nation

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hivi kutakwua na maelewano yoyote ya maana kweli hapa? Hii zomea zomea katika mikutano muhimu kama hii inatoa ishara gani? Mungu saidia jirani wetu japo wapate kuheshimiana na kusikilizana.
 
Hawa jamaa hata sijui wana matatizo gani kwakweli. Sasa hiyo katiba yao iliyopoteza pesa nyingi imewabadilishaje, mbona hali inazidi kuwa mbaya?
 
Hawa jamaa hata sijui wana matatizo gani kwakweli. Sasa hiyo katiba yao iliyopoteza pesa nyingi imewabadilishaje, mbona hali inazidi kuwa mbaya?
Tatizo kuna wale wame-invest a lot for 2022 n this BBI thing is a stumbling block kwao! The Ruto's Kutangatanga team is a victim of this BBI thing!
 
They normally tend to underestimate Ruto. Wanamuona kama katoto ka kukatumatuma tu. Nenda kule, peleka ile... lete ile huku...
 
Mimi ninaamini damu ya wakenya wasio na hatia waliouliwa kinyama wakati wa PEV 2007 lazima itawarudia wakenya.

Kenya yote iliungana kuwatetea Rutto na Uhuru kwasababu tu ni kutoka makabila teule ya Kenya, muungano wa UHURUTO umejaa damu za wakenya, lazima wakenya watafarakana na kuuana tena, hadi pale watakapojenga tabia ya kuwatafuta na kuwawajibisha wahusika bila kujali umaarufu, kabila, au utajiri wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…