Uchaguzi 2020 Anguko kuu la CCM, ushahidi ni huu

Uchaguzi 2020 Anguko kuu la CCM, ushahidi ni huu

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
4,823
Reaction score
6,416
Tunaosema sisi imefika kikomo cha kuongoza na kuanza kuwa chama cha upinzani tuna maanisha kuwa takwimu ndizo zinazotoa hukumu kwa CCM kufikia kikomo.

Mkapa aliingia madarakani kwa kura chache. Muhula wa pili kura ziliongezeka.

Kikwete aliingia kwa 81%, lakini muhula wa pili alipata 68%.

Magufuli aliingia kwa 58%. Muhula wa pili atapata 48%. Je 52% zitaenda wapi? Hata mimi sijui.

Turudi kuanzia kwa Kikwete anapoingia kwa kishindo, muhula wa pili anapoteza 13%. CCM inapoingia kwenye ligi awamu ya tano inapoteza tena10%.

Kwa trend hii ina maana katika uchaguzi huu CCM itapoteza 10%. Na ndo kitakuwa chama cha Upinzani.

Huu ndiyo ukweli, anayebisha atankumbuka baada ya matokeo hapo Oktoba au Novemba 2020.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]huko sahihi kabisaaaa

Ngosha ajiandae kisaikolojia kukabidhi nyumba nyeupe [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom