fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 883
Wadau wote wanaohusika, lawschool tanzania ipo matatani kutokana na mambo yafuatayo. 1. Kiwango cha udahili wa wanafunzi umekua mkubwa kufikia wanafunzi mia sita. 2. Ucheleweshaji wa matokeo kupita mda muafaka wakutoa matokeo.3. Wanafunzi wanasoma bila hela ya kujikimu yapata miezi mitano, cohort ya 16 wamefanya mitihani bila kupata hela yao ya vitabu na statutes, na cohort ya 17 wapo field hakuna hela yote waliopata POLENI LAWSCHOOL.