Uchaguzi 2020 Anguko la Mwigulu Nchemba Iramba Magharibi/ the fall of Mwigulu Nchemba

Team Leader1

Member
Joined
Apr 13, 2020
Posts
5
Reaction score
0
ANGUKO LA MWIGULU NCHEMBA

Mwigulu ni sikio la kufa, amekuwa akiporomoka kuanzia ngazi ya familia, sasahivi amekuwa mzee wa vimada tu, baada ya kulipuliwa na wadau mbalimbali kuhusu Tabia ya kuwazini watoto wa kike anaowaahidi kuwasaidia halafu anawaongopea akishawatumia anawatelekeza.

Vijana wenye elimu kuanzia shahada moja na kuendelea wote waliojitokeza kugombea Udiwani,alihakikisha hawapati nafasi ya kupitishwa kugombea, mathalani Kata ya Tulya n.k.

Vijana wengi wa kike na wa kiume ni mashahidi ya uzandiki wa Mwigulu aliowafanyia.

KWA VIJANA - Mwigulu amekuwa akiombwa na vijana wengi awasaidie kuwaunganisha kwenye chanel za ajira lakini hajaweza kuwasaidia zaidi ya kuwadanganya na kuacha kupokea simu zao. Wengine anawaahidi kuwa akishinda Uchaguzi atawasaidia, hawa ni vijana wapya ambao hawamjui vizuri Mwigulu ambao ndo wanasubiri kutelekezwa hivi karibuni baada ya kushindwa.

KWA WAFANYABIASHARA- Mwigulu alipata connection kubwa na Wafanyabiashara pale alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, alikuwa akiwashawishi wampatie magari na vifaa vingine ili baadaye aweze kuwasamehe Kodi, allikuwa akiwaambia kuwa yeye yupo Jikoni kwahiyo hakuna taabu kuhusu kuwasamehe Kodi. Pia, Alipoteuliwa Kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, hapa alitumia muda mwingi kujiimarisha kwa wafanyabiashara kwamba yeye ni Rais Ajaye, Mipango imekamilika wayeye kuwa Rais ajaye (JPM Awe one term president). Pia, alitumia Timu ya Singida United kama njia ya Kujiimarisha na kujitangaza, mbinu zake zilinaswa mapema na alitumbuliwa kabla hajajipanga vilivyo, hapo Singida United ilianza kuporomoka kwa kasi, hiyo inamaanisha kuwa kulikuwa na mahusiano ya nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani na Timu ya Singida United, Timu ilikuwa inapata misaada mingi na kuna wakati aliwahikupokea Simenti na hiyo simenti iligawiwa kwa wachezaji, kila Mcheza alipewa mifuko Hamsini na kupelekewa anapotaka apelekewe, wachezaji wa kimaaifa waliuza na kupata pesa.

Wafanyabiashara wengine wamemkopesha hadi milioni 200, mwingine wa Dodoma anamdai pesa alikopa vifaa vya muziki, kwa wafanyabiashara ndo wanalia sana.

WAFANYABIASHARA WA MAHOTEL NA LODGE – Huku ndo balaa, Mwigulu anadaiwa kwenye maHotel na Lodge za kila Mkoa, Madeni ya kuifadhili Singida United, na kulala yeye binafsi, wabunge wenye mahotel wanalalamika sana kuhusu tabia yake.

VIONGOZI WA DINI, Mwigulu ni kama amewadhalilisha viongozi wa Dini, Katika Sherehe za Maulidi Nabii iliyofanyika Mji wa Shelui Iramba alikwenda kuwaahidi Gari aina ya Noah, kila akiulizwa anasema ngoja aiweke kwenye Diary ili akumbuke, Pia, aliahidi Tshs Milioni Tano katika Msikiti wa New Kiomboi hii ahadi ina miaka mitano sasa, inasemekana aliwaahidi tena milioni Tatu, hii ni kwa upande wa misikiti, sasa kwa makanisani ndio usiseme.

KWA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO - Mwigulu anawakopa mpaka mama Ntilie wanaishiwa mitaji. Anakwenda kulisha Magenge yake ya Kampeni na mikutano kwa mama ntilie, kumkopa chakula mama ntilie cha laki saba ni kuuwa mtaji wake, alikopa Misigiri na maeneo mengine.

KUTENGENEZA MIPANGO YA KUWADHURU VIONGOZI – Kuna taarifa ya kuwawekea sumu kwenye chakula baadhi ya viongozi hasa katika ngazi ya Wilaya, huo mpango ulipogunduliwa akawageuzia wale aliotaka kuwapa sumu kuwa wao ndio wanataka kumpa sumu yeye. Hilo suala linafahamika vizuri.

MPANGO WA SASA WA MWIGULU (PLAN B)

Mwigulu anawagawa wanachama kwa kuwaandaa kufanya vurugu ikiwa atashindwa kwenye mchakato wa kura za maoni. Amewaandaa katika baadhi ya Kata kama Kata ya Mtoa, n.k. kwamba anataka kuonesha CCM kuwa yeye anamtaji wa watu, hivyo atahama nao ikiwa matokeo yatakuwa sio ya Upande wake.

ANGUKO

Mwigulu kwasasa amechokwa na makundi mabalimbali, anachofanya sasahivi ni kuwalipa vijana kufanya vurugu tu katika mitandao ya kijamii na maeneo mbalimbali kuonesha kuwa hajafa bado anafurukura. Mazingira yaliowazi na shahiri kuwa wananchi hawana Imani na Mwigulu.
 
Mbona yeye hana wasiwasi na uchaguzi, na ashasema kumshinda Iramba ni sawa na kumshinda mamba kwenye maji yenye kina kirefu
 
ROSTAM AZIZ amerudi kuja kugawa fedha za kampeni kwa hiyo Mwigulu asiwe na wasiwasi jabali lao limerudi kivingine hatua ya kwanza tayari limeleta mashine ya CORONA huko kwenye wabunge wa ndiooooooooo
 
*Dokezo*

*Mipango ya Mwigulu ya kukigawa chama Iramba yabainika*

Baada ya kuona viongozi wa matawi na kata katika kata ya Mtoa wamemkataa kabisa, sasa Mwigulu ameamua kuweka uongozi wake mwingine.

Ameigawa kata katika kanda tano na kwa kila kanda kaweka mwenyekiti na Katibu na kuwaeleza kuwa wasisikilize viongozi wa kata wala wa matawi waliochaguliwa kihalali!

Aidha, amewaambia kuwa ikitokea hajapitishwa kugombea atahama nao kwenda upinzani.

Huu ni uasi na haukubaliki ndani ya CCM

Kwa bahati nzuri na kwa manufaa ya chama hao aliowaweka hawakubaliani naye hivyo wanamchora tu.

Wapiga kura kata ya Mtoa
 
Mwigulu lazima aachie ubunge iramba 2020*

Miaka yote pamoja na mambo mengine ni kumpinga rais tu, majizi yote ndo yanampinga rais wetu mpendwa, hata hili jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini?

Atakayewaongoza wanachi kupata maendeleo.

Anayefahamu kuwa mshahara wake na marupurupu yote pamoja na gari zuri la kibunge ni kodi ya wananchi wanyonge,bodaboda,mama ntilie,wafanyabiashara,wakulima na wafanyakazi.

Anayefahamu kuwa yeye si kitu mbele ya walipakodi wa iramba na chama cha mapinduzi

Anayefanya kazi ya ubunge kwa kuheshimu katiba kama sura ya tatu ya katiba ya nchi ilivyowekwa.

Pamoja na mambo mengine ibara ya 65 ya katiba ya nchi, imeeleza kuwa maisha ya bunge kwa na nyingine mbunge kushika madaraka ni miaka 5.

Pia ibara ya 65(2) imehalalisha uchaguzi baada ya miaka 5.

Hivyo mbunge kama mwigulu anayechukia uchaguzi, ambaye anachukia watanzania watia nia, anayetamani awe mbunge milele, mroho wa madaraka, mwenye kuona kama iramba ameiweka mfukoni mwake, wengine wote malofa, anayetumia ubunge kama duka la familia yake, anayetumia ubunge kama fimbo ya kudhalilisha watoto wa shule kingono, anayetumia ubunge kama uwanja wa majigambo, anayetumia ubunge kuchukua mali na fedha za wananchi bure, anayetumia ubunge kugawa mali za iramba kwa jamaa na marafiki zake, anatumia ubunge kama zana ya kuabudiwa, kutisha watu, anayetumia ubunge kudhalilisha watu na kuonea watu na hata kuwafunga, anayetumia ubunge kuuwa watu, anayetumia ubunge kuleta utawala wa kifalme iramba,

Ni ukiukwaji mkubwa wa katiba na haki za binadamu na utawala bora.

Ubunge sio mali ya babake na mamake, mwanairamba yeyote ana haki ya kuwa mbunge na atafanya vizuri mara 100 zaidi ya huyu mwigulu mkoloni na mnyonyaji mweusi mwenzetu.

Uongozi wa Mwigulu hautofautiani na wa wakoloni, walioamini nchi yetu ni mali yao, na sisi hatuna haki nayo, vivyo hivyo anajiaminisha na wapumbavu wenzake kuwa iramba ni mali yao, wasahau, hili alikubaliki,2020 mwigulu a new colonialist in iramba must go, enough is enough.

For how long we are going to standing aside looking this stupidity, never ever, he must go, amen.
 
Ushatafunwa na wewe taaaayari, unakuja kulialia huku JF Tutakusaidiaje!
 
Natarajia kugombea huko kwa tiketi ya act wazalendo. Hivyo, kwa umoja wetu hasa sisi vijana nina uhakika kwamba nitashinda kwa kishindo sana.

Tupeane sapoti vijana wenzangu.

Ahsanteni ndugu zangu.
 
ANGUKO LA MWIGULU NCHEMBA

Mwigulu ni sikio la kufa, amekuwa akiporomoka kuanzia ngazi ya familia, sasahivi amekuwa mzee wa vimada tu, baada ya kulipuliwa na wadau mbalimbali kuhusu Tabia ya kuwazini watoto wa kike anaowaahidi kuwasaidia halafu anawaongopea akishawatumia anawatelekeza.

Vijana wenye elimu kuanzia shahada moja na kuendelea wote waliojitokeza kugombea Udiwani,alihakikisha hawapati nafasi ya kupitishwa kugombea, mathalani Kata ya Tulya n.k.

Vijana wengi wa kike na wa kiume ni mashahidi ya uzandiki wa Mwigulu aliowafanyia.

KWA VIJANA - Mwigulu amekuwa akiombwa na vijana wengi awasaidie kuwaunganisha kwenye chanel za ajira lakini hajaweza kuwasaidia zaidi ya kuwadanganya na kuacha kupokea simu zao. Wengine anawaahidi kuwa akishinda Uchaguzi atawasaidia, hawa ni vijana wapya ambao hawamjui vizuri Mwigulu ambao ndo wanasubiri kutelekezwa hivi karibuni baada ya kushindwa.

KWA WAFANYABIASHARA- Mwigulu alipata connection kubwa na Wafanyabiashara pale alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, alikuwa akiwashawishi wampatie magari na vifaa vingine ili baadaye aweze kuwasamehe Kodi, allikuwa akiwaambia kuwa yeye yupo Jikoni kwahiyo hakuna taabu kuhusu kuwasamehe Kodi. Pia, Alipoteuliwa Kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, hapa alitumia muda mwingi kujiimarisha kwa wafanyabiashara kwamba yeye ni Rais Ajaye, Mipango imekamilika wayeye kuwa Rais ajaye (JPM Awe one term president). Pia, alitumia Timu ya Singida United kama njia ya Kujiimarisha na kujitangaza, mbinu zake zilinaswa mapema na alitumbuliwa kabla hajajipanga vilivyo, hapo Singida United ilianza kuporomoka kwa kasi, hiyo inamaanisha kuwa kulikuwa na mahusiano ya nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani na Timu ya Singida United, Timu ilikuwa inapata misaada mingi na kuna wakati aliwahikupokea Simenti na hiyo simenti iligawiwa kwa wachezaji, kila Mcheza alipewa mifuko Hamsini na kupelekewa anapotaka apelekewe, wachezaji wa kimaaifa waliuza na kupata pesa.

Wafanyabiashara wengine wamemkopesha hadi milioni 200, mwingine wa Dodoma anamdai pesa alikopa vifaa vya muziki, kwa wafanyabiashara ndo wanalia sana.

WAFANYABIASHARA WA MAHOTEL NA LODGE – Huku ndo balaa, Mwigulu anadaiwa kwenye maHotel na Lodge za kila Mkoa, Madeni ya kuifadhili Singida United, na kulala yeye binafsi, wabunge wenye mahotel wanalalamika sana kuhusu tabia yake.

VIONGOZI WA DINI, Mwigulu ni kama amewadhalilisha viongozi wa Dini, Katika Sherehe za Maulidi Nabii iliyofanyika Mji wa Shelui Iramba alikwenda kuwaahidi Gari aina ya Noah, kila akiulizwa anasema ngoja aiweke kwenye Diary ili akumbuke, Pia, aliahidi Tshs Milioni Tano katika Msikiti wa New Kiomboi hii ahadi ina miaka mitano sasa, inasemekana aliwaahidi tena milioni Tatu, hii ni kwa upande wa misikiti, sasa kwa makanisani ndio usiseme.

KWA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO - Mwigulu anawakopa mpaka mama Ntilie wanaishiwa mitaji. Anakwenda kulisha Magenge yake ya Kampeni na mikutano kwa mama ntilie, kumkopa chakula mama ntilie cha laki saba ni kuuwa mtaji wake, alikopa Misigiri na maeneo mengine.

KUTENGENEZA MIPANGO YA KUWADHURU VIONGOZI – Kuna taarifa ya kuwawekea sumu kwenye chakula baadhi ya viongozi hasa katika ngazi ya Wilaya, huo mpango ulipogunduliwa akawageuzia wale aliotaka kuwapa sumu kuwa wao ndio wanataka kumpa sumu yeye. Hilo suala linafahamika vizuri.

MPANGO WA SASA WA MWIGULU (PLAN B)

Mwigulu anawagawa wanachama kwa kuwaandaa kufanya vurugu ikiwa atashindwa kwenye mchakato wa kura za maoni. Amewaandaa katika baadhi ya Kata kama Kata ya Mtoa, n.k. kwamba anataka kuonesha CCM kuwa yeye anamtaji wa watu, hivyo atahama nao ikiwa matokeo yatakuwa sio ya Upande wake.

ANGUKO

Mwigulu kwasasa amechokwa na makundi mabalimbali, anachofanya sasahivi ni kuwalipa vijana kufanya vurugu tu katika mitandao ya kijamii na maeneo mbalimbali kuonesha kuwa hajafa bado anafurukura. Mazingira yaliowazi na shahiri kuwa wananchi hawana Imani na Mwigulu.
Koroganeni wenyewe kijani nyote ni wauaji....
 
Alishaharibu image yake kwa kuonjeshwa karanga aaendelee tu kulima alizeti bunge atakuwa akiliona akipita na tren
 
Mwigulu hana nyota ya uongozi, Iramba safari hii ituletee Chadema ili aendeleze ushujaa wa Mkoa Madhubuti kabisa Tanzania
 
Back
Top Bottom