Anguko la Nyani Ngabu

Hahahaaaa

The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.

Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.

Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!

Happy weekend.

Aise! nilisikitika sana "USA Baby" ila nawewe nawe umebadilika tokea msukuma mwenzio ashike nchi unatetea hata vya hovyo! badilika bhana mazuri tusifie mabaya tuyarekebishe!
 
Aise! nilisikitika sana "USA Baby" ila nawewe nawe umebadilika tokea msukuma mwenzio ashike nchi unatetea hata vya hovyo! badilika bhana mazuri tusifie mabaya tuyarekebishe!

Hebu kuwa mkweli walau kidogo basi...

Ina maana hujawahi kabisa kuona mahala popote humu nilipomponda Magufuli tokea awe rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…