Anguko la Wema Sepetu

Anguko la Wema Sepetu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
20210617_153249.jpg

Ila anatia aibu Jaman, kutoka kuwa First class, A-List super star hadi kuangukia pua, Wema ndo kawa wa kutangaza matangazo ya waganga jamani? Like seriously? Ina maana hata Hamisa Mobetto kampiku akili? Mwenzie yuko anafanya ma deal makubwa na kina Rick Ross, makampuni ya maana hapa Tz , shoga yenu yuko busy na matangazo ya waganga na nguvu za kiume, what a shame , hayo madawa ya kulevya anayotumia yanampeleka pabaya, nasikia anatafuta pesa ya kodi masikini .

Yaani Wema sasa hivi yuko level moja na kina Lokole na Carry mastory wanashindana matangazo ya elfu 20.

Yani linajishushia hadhi sana, with more than 8million followers, watu kibao wa maana wanamfollow halafu anachafua page yake na matangazo ya kipumbavu shame on her, ndo mambo anayomshauri Martin Kadinda Hayo mxeeiw, yani mpaka diva atakuja kumpiku wema
IMG_2864.jpg
 
Simjui huyo Wema unayemsema lakini kama ni huyo hapo kwenye picha mimi naona ako poa tu. After all mwenyewe anaoneka yupo happy kabisa bidada wa watu.

Anayeteseka - definitely - ni wewe hapo ambaye hadi umekuja huku JF kumfungulia uzi!
 
Ila nyumbu anatia aibu Jaman, kutoka kuwa First class , A-List super star hadi kuangukia pua, wema ndo kawa wa kutangaza matangazo ya waganga jaman ? Like seriously?? Ina maana hata hamisa mobetto kampiku akili? , mwenzie yuko anafanya ma deal makubwa na kina rick Ross , makampuni ya maana hapa Tz , shoga yenu yuko busy na matangazo ya waganga na nguvu za kiume, what a shame , hayo madawa ya kulevya anayotumia yanampeleka pabaya, nasikia anatafuta pesa ya kodi maskin .

Yani wema sasa hivi yuko level moja na kina lokole na Carry mastory wanashindana matangazo ya elfu 20.

Yani linajishushia hadhi sana, with more than 8million followers, watu kibao wa maana wanamfollow halafu anachafua page yake na matangazo ya kipumbavu shame on her, ndo mambo anayomshauri Martin Kadinda Hayo mxeeiw, yani mpaka diva atakuja kumpiku wemaView attachment 1818589
Aliyekula kala iwe kidogo au kikubwa,halafu Wema na Hamisa kama Saidi na Side wote wauzaji.
 
Ila nyumbu anatia aibu Jaman, kutoka kuwa First class , A-List super star hadi kuangukia pua, wema ndo kawa wa kutangaza matangazo ya waganga jaman ? Like seriously?? Ina maana hata hamisa mobetto kampiku akili? , mwenzie yuko anafanya ma deal makubwa na kina rick Ross , makampuni ya maana hapa Tz , shoga yenu yuko busy na matangazo ya waganga na nguvu za kiume, what a shame , hayo madawa ya kulevya anayotumia yanampeleka pabaya, nasikia anatafuta pesa ya kodi maskin .

Yani wema sasa hivi yuko level moja na kina lokole na Carry mastory wanashindana matangazo ya elfu 20.

Yani linajishushia hadhi sana, with more than 8million followers, watu kibao wa maana wanamfollow halafu anachafua page yake na matangazo ya kipumbavu shame on her, ndo mambo anayomshauri Martin Kadinda Hayo mxeeiw, yani mpaka diva atakuja kumpiku wemaView attachment 1818589
Mkuu unajua kuna muda inabidi ukubaliani na ukweli kuwa sasa umeisha na muda wako umekwisha uanze kuishi maisha halisi. Watu wengi uwa tunaanguka zaidi kwa kutotaka kukubaliana na ukweli. Ukikubaliana na ukweli ni bora zaidi maana utaanza kuishi kiuhalisia ila ukiendelea fake utajikuta mwisho wa siku unadhalilika zaidi maana badala ya kujipanga upya unajikuta hutaki kukabiliana na ukweli.
Ni afadhali afanye anachofanya kama kweli kafulia kuliko kuendelea kufake kuwa yuko vizuri maana inamuumiza kipesa mpaka kiakili.
 
Kabisaa yaani Mimi namsapoti 100% kina Lokole wanamponda kwa kua wanajua kawaharibia biashara zao maana Wema ni tittle...!!!
 
Yule binti atakuja kujutia huu ujana anaouchezea. Mama yake anamuexpose kwenye mambo ya kishenzi sababu tayari yeye ameshachuja na Hana namna ya kujiweka kimjini bila huyo mtoto anayemuuza bila kujali future ya mwanae.
Atakuja kujuta haswa huyu na Bora hata angeendelea na shule ingekuja kumu boost Jojo alikuwa mhuni Ila elimu yake ilimsaidia sasa huyu Paula hashikiki anatoka na hawa mastar wapuuzi tu, lulu baada ya majanga alijifunzaga na kutulia tuli
 
Elimu ndio kila kitu especially umri ukisogea, aangalie akina Hoyce Temu na JoJo kama unavyosema au wengi tu akina Sylvia Bahame etc walipoacha ujana elimu zimewabeba sana.

Kajala ni shuleless na anampoteza mwanae kweupe kabisa wakati yeye ameshaona effect ya kutoweka akiba ya elimu .

Binti anaweza kuendelea na mambo ya ujana sababu umri unamruhusu Ila isimfanye apoteze thamani yake kwa kufanya ujinga na kuishia kwenye bongo muvi especially sasa wanataka kuanzisha reality show yao ambayo maana yake binti ndio shule baibai.

Well, wacha aiuze maana wadau tupo na nakavizia kashuke bei kidogo 😃 sasa hivi mambo ya kupelekana Dubai tunawaachia wenye viherehere kwanza.
 
Back
Top Bottom